Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
boss ujinga ni mbaya...hizi bei si za Kenya pekee bali ni za kimataifa...hata ukienda ulaya na marekani...geothermal plant ni bei hio hio tu...sio hizi zenu za 21 mil utadhani ni generator ya mafuta taa...lol! kisha mnasifia..😀😀mnazingua kweli...plant yenyewe sidhani hata kama itafika 5 MW kwa bei hio...Usilete mambo ya ufisadi wa Kenya kwani wewe ndio unaye uza hizo plant? Nyie mnaambiwa bei mnaitikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app