fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Hip hop is dead au dunia ndo imebadilika?..kwani saivi unaona watu wanavaa kama kina 50 cent walivyokuwa wanavaa mabwanga??HIP HOP IS DEAD
Kajisemea Nas 2008
[emoji849]
Ukisikiliza nyimbo unaweza kusema MIGOS ni bonge la msanii kumbe kuna OFFSET, QUAVO na TAKEOFF
Bila SOUND CLOUD huwezi kujua nyimbo ya nani [emoji849][emoji849][emoji849]
uko sahihi kiongozi dunia imebadilika so wasanii pia wanaenda na kasi ya dunia piaHip hop is dead au dunia ndo imebadilika?..kwani saivi unaona watu wanavaa kama kina 50 cent walivyokuwa wanavaa mabwanga??
hip hop haijafa na haiwezi kufa katuHIP HOP IS DEAD
Kajisemea Nas 2008
[emoji849]
Ukisikiliza nyimbo unaweza kusema MIGOS ni bonge la msanii kumbe kuna OFFSET, QUAVO na TAKEOFF
Bila SOUND CLOUD huwezi kujua nyimbo ya nani [emoji849][emoji849][emoji849]
kwa swagg jamaa yuko vzuri ila kuimba mi naona kundi ndo linambeba hv offset ana nymbo gani alizoimba peke yake ambayo no kali zaidi ya flair drip??Offset ni mnyama
Ujue kwenye kundi lao quavo ndiyo alipewa nafasi ya kufanya kazi za kwake mwanzo naona kama sa hizi offset ndiyo mda wake kwasababu ana kolabo za kutosha kwa sasakwa swagg jamaa yuko vzuri ila kuimba mi naona kundi ndo linambeba hv offset ana nymbo gani alizoimba peke yake ambayo no kali zaidi ya flair drip??
TAKEOFF yupo unique sana sio kweli kwamba wanafanana kiasi hicho,wanangoma mpya inaitwa NARCOS kaisikilizeHIP HOP IS DEAD
Kajisemea Nas 2008
[emoji849]
Ukisikiliza nyimbo unaweza kusema MIGOS ni bonge la msanii kumbe kuna OFFSET, QUAVO na TAKEOFF
Bila SOUND CLOUD huwezi kujua nyimbo ya nani [emoji849][emoji849][emoji849]
KWENYE kundi Lao offset anawakimbiza vibaya SanaUjue kwenye kundi lao quavo ndiyo alipewa nafasi ya kufanya kazi za kwake mwanzo naona kama sa hizi offset ndiyo mda wake kwasababu ana kolabo za kutosha kwa sasa
TAKEOFF!wte wa waliii ila ila tupa.kulee [emoji23][emoji23] umemsahau mnyama quavo
uyo ni habari nyngne [emoji51] [emoji51] [emoji51]wte wa waliii ila ila tupa.kulee [emoji23][emoji23] umemsahau mnyama quavo
jamaa anajua ila hana nyota tuTAKEOFF!
mi nahisi muda tu offset akitoa album nahisi itakuwa zamujamaa anajua ila hana nyota tu
quavo hunchowte wakaliii ila tupa.kulee [emoji23][emoji23] umemsahau mnyama quavo
Hip hop is dead au dunia ndo imebadilika?..kwani saivi unaona watu wanavaa kama kina 50 cent walivyokuwa wanavaa mabwanga??
kweli ila jamaa anajua mfano ngoma waloimba na 2chainzi takeoff kaua vbayaaami nahisi muda tu offset akitoa album nahisi itakuwa zamu
si unaona hata quavo hajafanya kolabo nyingi kama tulivyozoea ukiachana na ngoma za kundi