21 Savage na Offset nani mkali?

21 Savage na Offset nani mkali?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
kwa wale wazee wanaofuatilia miziki ya hip hop especially trap music nani mkali kati ya hao wawili maana tunabishana sana kitaa
upande wangu naona 21 anajua sana kutokana na ngoma zake mfano alomshirikisha future na zngnezo karibu mdau utoe maoni yako

[HASHTAG]#yungtemper[/HASHTAG]
50a84a031f40677685b06c67301ba61b.jpg
FB_IMG_15293493671149331.jpg
 
HIP HOP IS DEAD
Kajisemea Nas 2008
[emoji849]
Ukisikiliza nyimbo unaweza kusema MIGOS ni bonge la msanii kumbe kuna OFFSET, QUAVO na TAKEOFF
Bila SOUND CLOUD huwezi kujua nyimbo ya nani [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Hip hop is dead au dunia ndo imebadilika?..kwani saivi unaona watu wanavaa kama kina 50 cent walivyokuwa wanavaa mabwanga??
 
hip hop haijafa na haiwezi kufa katu
 
kwa swagg jamaa yuko vzuri ila kuimba mi naona kundi ndo linambeba hv offset ana nymbo gani alizoimba peke yake ambayo no kali zaidi ya flair drip??
Ujue kwenye kundi lao quavo ndiyo alipewa nafasi ya kufanya kazi za kwake mwanzo naona kama sa hizi offset ndiyo mda wake kwasababu ana kolabo za kutosha kwa sasa
 
HIP HOP IS DEAD
Kajisemea Nas 2008
[emoji849]
Ukisikiliza nyimbo unaweza kusema MIGOS ni bonge la msanii kumbe kuna OFFSET, QUAVO na TAKEOFF
Bila SOUND CLOUD huwezi kujua nyimbo ya nani [emoji849][emoji849][emoji849]
TAKEOFF yupo unique sana sio kweli kwamba wanafanana kiasi hicho,wanangoma mpya inaitwa NARCOS kaisikilize
 
Quavo quacho hahaha
Actually flow za 21 savage nazielewa xana.
 
Hip hop is dead au dunia ndo imebadilika?..kwani saivi unaona watu wanavaa kama kina 50 cent walivyokuwa wanavaa mabwanga??

Sasa hivi ni vituko tu
Braza men kavaa kijinzi kimebanaaa ukiwa kwa mbali unaweza kudhani mtoto kipotabo kumbe dume [emoji57]
 
Back
Top Bottom