malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habar wakuu
Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.
Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
Hao watu unawadai unawachukulia poa mkuuHabar wakuu

Kutafuta hela ni issue moja, kuitunza hela ni issue nyingine. Kuifanya hela izalishe ni issue nyingine pia. Na zote ziko tofauti kabisa. Ila bila hizo zote tatu huwezi kuwa tajiri. Na sio lazima wewe uzifanye zote, chagua moja uifanye zingine achia wengine.Habar wakuu
Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.
Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
Umri bado unaruhusu mbona, na kizuri cha hela huwa ni kama maji, hayasahau njia yake.Habar wakuu
Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.
Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
😂 ulijikuna usipofikia next time jikune unapofikia.Mi nlihonga 150k tu, lakn kila nikiikumbuka mwoli unakosa nguvu
Unaona wale vijana wa kariakoo basi wanaenda na trend za mji ,wanafunga pesa ndefu pale kwa siku ila ndio wateja wakubwa kweny kumbi za starehe ...Siti ambazo zipo reserved mpaka 1mil wanakaa meza wanaikata ..Nimegundua vijana wengi wanapata sana pesa kwenye biashara ila zinaishia kwenye matumizi ya hovyo, matokeo yake wanaonekana hawana pesa na biashara kuonekana hazilipi, financial management ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi binafsi huwa nasemwa sana na wazazi, marafiki, ndugu na jamaa kwa ubahili unlike my siblings ambao wao they like overspending on luxuries hawajui kusave
Trust!, ku save pesa katika ujana ni ngumu sana, hii kitu nlipambana nayo miaka almost 5 hamna nilichoambulia, mpaka mwaka Jana aliponishauri mke wangu kuingia kwenye hii mnaita michezo na vikoba, nilikuwa siamini hizi issue mwanzo alivyokuwa akiniambia nilimpuuza, c ushasikiaga issue za kijumbe kusepa na pesa za watu na kudhurumiana, Sasa yeye ndio ananichezea hiyo michezo, sku ameniletea pesa sikuamini. Nilizshika tu nikakwamwambia peleka huko mnaita kikoba, wamekuja kuvunja aisee.. naishia hapa... Sometimes tuwasikilize wanawake wapo vizuri kwenye njia za kusave.Habar wakuu
Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.
Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
Utamu wa papuchi mama, hata mimi nikikumbuka nilizohonga moyo unaniuma sana, especially now ambapo majukumu yanaongezeka. Kwa sasa ubahili ndio kauli mbiu.Nimegundua vijana wengi wanapata sana pesa kwenye biashara ila zinaishia kwenye matumizi ya hovyo, matokeo yake wanaonekana hawana pesa na biashara kuonekana hazilipi, financial management ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi binafsi huwa nasemwa sana na wazazi, marafiki, ndugu na jamaa kwa ubahili unlike my siblings ambao wao they like overspending on luxuries hawajui kusave
Shikilia hapo hapoNimegundua vijana wengi wanapata sana pesa kwenye biashara ila zinaishia kwenye matumizi ya hovyo, matokeo yake wanaonekana hawana pesa na biashara kuonekana hazilipi, financial management ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi binafsi huwa nasemwa sana na wazazi, marafiki, ndugu na jamaa kwa ubahili unlike my siblings ambao wao they like overspending on luxuries hawajui kusave
Ulihonga kama shingap hivi jumlaUtamu wa papuchi mama, hata mimi nikikumbuka nilizohonga moyo unaniuma sana, especially now ambapo majukumu yanaongezeka. Kwa sasa ubahili ndio kauli mbiu.
Siwezi kuhesabu mkuu, ila baada tu ya kumaliza chuo nilihonga sana..Ulihonga kama shingap hivi jumla