220m ni hasara nimeipata tangu niingie katika ulimwengu wa biashara 2010 kwa usimamizi mbovu na matumizi yasiyo rasmi hadi sasa

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu

Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.

Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
 
Pambana
 
Nimegundua vijana wengi wanapata sana pesa kwenye biashara ila zinaishia kwenye matumizi ya hovyo, matokeo yake wanaonekana hawana pesa na biashara kuonekana hazilipi, financial management ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi binafsi huwa nasemwa sana na wazazi, marafiki, ndugu na jamaa kwa ubahili unlike my siblings ambao wao they like overspending on luxuries hawajui kusave
 
Hao watu unawadai unawachukulia poa mkuu
 
[emoji847][emoji847][emoji847].kumbe mimi sijafirisika.
Kweli ukiona kazi yako ngumu,angalia ya mwenzio.
 
Habar wakuu

Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.

Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
Kutafuta hela ni issue moja, kuitunza hela ni issue nyingine. Kuifanya hela izalishe ni issue nyingine pia. Na zote ziko tofauti kabisa. Ila bila hizo zote tatu huwezi kuwa tajiri. Na sio lazima wewe uzifanye zote, chagua moja uifanye zingine achia wengine.

Ndo maana tupo sisi ma-engineers wa hela, wealth managers.
 
Habar wakuu

Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.

Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
Umri bado unaruhusu mbona, na kizuri cha hela huwa ni kama maji, hayasahau njia yake.
 
Nimegundua vijana wengi wanapata sana pesa kwenye biashara ila zinaishia kwenye matumizi ya hovyo, matokeo yake wanaonekana hawana pesa na biashara kuonekana hazilipi, financial management ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi binafsi huwa nasemwa sana na wazazi, marafiki, ndugu na jamaa kwa ubahili unlike my siblings ambao wao they like overspending on luxuries hawajui kusave
Unaona wale vijana wa kariakoo basi wanaenda na trend za mji ,wanafunga pesa ndefu pale kwa siku ila ndio wateja wakubwa kweny kumbi za starehe ...Siti ambazo zipo reserved mpaka 1mil wanakaa meza wanaikata ..

Hii trend ni tabia ya kuambukiza wanatafuta wiki nzima ila weekend wapo viwanja wanatumia pesa nyingi...kuna kuhonga wanawake ndio usiseme.

Wale wafanyabiasha kama washamba washamba ndio wanajenga mahekalu huko kwao ndani ya mda mfupi tu...Hawa watoto wa mjini akifa unaona anaingizwa kweny nyumba ya tope .
 
Habar wakuu

Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.

Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena
Trust!, ku save pesa katika ujana ni ngumu sana, hii kitu nlipambana nayo miaka almost 5 hamna nilichoambulia, mpaka mwaka Jana aliponishauri mke wangu kuingia kwenye hii mnaita michezo na vikoba, nilikuwa siamini hizi issue mwanzo alivyokuwa akiniambia nilimpuuza, c ushasikiaga issue za kijumbe kusepa na pesa za watu na kudhurumiana, Sasa yeye ndio ananichezea hiyo michezo, sku ameniletea pesa sikuamini. Nilizshika tu nikakwamwambia peleka huko mnaita kikoba, wamekuja kuvunja aisee.. naishia hapa... Sometimes tuwasikilize wanawake wapo vizuri kwenye njia za kusave.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nimegundua vijana wengi wanapata sana pesa kwenye biashara ila zinaishia kwenye matumizi ya hovyo, matokeo yake wanaonekana hawana pesa na biashara kuonekana hazilipi, financial management ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi binafsi huwa nasemwa sana na wazazi, marafiki, ndugu na jamaa kwa ubahili unlike my siblings ambao wao they like overspending on luxuries hawajui kusave
Utamu wa papuchi mama, hata mimi nikikumbuka nilizohonga moyo unaniuma sana, especially now ambapo majukumu yanaongezeka. Kwa sasa ubahili ndio kauli mbiu.
 
Shikilia hapo hapo
 
Utamu wa papuchi mama, hata mimi nikikumbuka nilizohonga moyo unaniuma sana, especially now ambapo majukumu yanaongezeka. Kwa sasa ubahili ndio kauli mbiu.
Ulihonga kama shingap hivi jumla
 
Resist the urge to upgrade you life whenever your income increases.
 
Back
Top Bottom