malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habar wakuu
Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa kusimamia biashara vizur msimamiz akanipiga 50m, wanawake starehe na kuhonga 40m,matumizi yasioeleweka,kuibiwa na madeni sugu ya watu naowadai hawakulipa 88m.
Hakika maisha nifunzo kubwa sana nimejifunza kuanzia Sasa ni mtu mpya kabisa Japo vihela vyakula napatapata ... Umri umeenda miaka38 Sasa acha nipambane kujaribu bahati tena