sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
Taarifa za Ndani toka kwa wadau waliopo karibu na Roy zinadai pengine show ya wasanii bora Africa na ulaya P Squire itapigilia msumari wa mwisho katika jeneza la utawala wa show za Clouds media group, primetym promotions na strait muzik.
Ila kikubwa ni kwamba East Africa wameamua kujiingiza katika biashara ya show so mchaka mchaka utaanza hiyo 23rd utakuwa ni utaratibu wa east africa kupiga show za kimataifa mikoani.
Nimedokezewa list ya watakaotangulia kufagia fagia kwenye show ya psquire ni Diamond platnumz,dimpoz mzee wa tupogo, jide jaydee anaconda, jey prof, roma mkatoliki, grace matata na vinega.