23rd nov P-Squire, Vinega, Anaconda, na prof Jay kuzika utawala wa Show za Cloudsfm

23rd nov P-Squire, Vinega, Anaconda, na prof Jay kuzika utawala wa Show za Cloudsfm

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
Taarifa za Ndani toka kwa wadau waliopo karibu na Roy zinadai pengine show ya wasanii bora Africa na ulaya P Squire itapigilia msumari wa mwisho katika jeneza la utawala wa show za Clouds media group, primetym promotions na strait muzik.

Ila kikubwa ni kwamba East Africa wameamua kujiingiza katika biashara ya show so mchaka mchaka utaanza hiyo 23rd utakuwa ni utaratibu wa east africa kupiga show za kimataifa mikoani.

Nimedokezewa list ya watakaotangulia kufagia fagia kwenye show ya psquire ni Diamond platnumz,dimpoz mzee wa tupogo, jide jaydee anaconda, jey prof, roma mkatoliki, grace matata na vinega.
 
Wataisoma sana Bauz entertainment,juzi wamezalilika kuliko maelezo!..
 
ntakuepo kuunga mkono EATV na pia kuungana na wapenda maendeleo ya wasanii wote Tz
RIP GAYS MEDIA.
 
hii itakuwa bab kubwa hawa P square wanashambulia jukwaa usipime nakumbuka show yao mwaka nimeusahau pale leaders ulikua unaitwa DO ME CONCERT.

Afadhali.hii show ya P square Bongo inanipa mzuka sana
 
aisee na viingilio ni

30,000(kwa M-PESA)

35,000(KWENYE VITUO)

50,000(mlangoni)
 
Mawingu wamelewa sifa baada ya kazi nzuri mwanzoni hivyo wanahitaji kupata displine ili wauheshimu muziki,wanamuziki na wapenda burudani.
 
Dah hapo patam sana tunaka vitu vya kikubwa kama hivyo,sio bla bla za kishamba.
 
Acha propaganda za kishamba,,viingilio bado havijatangazwa huu ulioleta ni uongo na uoga..

Mkuu matumbo usidhani kila taarifa utakuwa wa kwanza kuipata.

Kwa taarifa tuu viingilio vimeshatangazwa labda kama huna taarifa na vimetangazwa leo.
Ticket kwa njia ya M-pesa zimeanzwa kuuzwa leo saa 6 mchana. hizo ticket kwa njia ya M-pesa zitauzwa hadi tarehe 18 na baada ya hapo zitauzwa ticket kwenye vituo kwa 35,000 hadi saa kumi jioni ya tareh 23/11.

Na baada ya hapo watakao nunulia mlangoni itakuwa 50,0000/=

Ni kweli mimi nimshamba lakini sina sababu ya kufanya propaganda kwenye biashara za watu.

Sheria za jf ziko wazi kabisa kama umeshawai kuzipitia utagundua kuwa adhabu ya kusema uongo kwenye hii forum ni hipi.

Kama itakuwa tofauti na nilivyo sema basi sheria na adhabu zifate mkondo bila huruma.

Sina sababu ya kusema uongo.
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa taharifa...kesho nakuja Tz nita confirm .
 
Last edited by a moderator:
30000 alafu nikasimame Leaders? Hawa ndo wamefeliiii kuliko hao Clouds
 
Back
Top Bottom