Mkuu
matumbo usidhani kila taarifa utakuwa wa kwanza kuipata.
Kwa taarifa tuu viingilio vimeshatangazwa labda kama huna taarifa na vimetangazwa leo.
Ticket kwa njia ya M-pesa zimeanzwa kuuzwa leo saa 6 mchana. hizo ticket kwa njia ya M-pesa zitauzwa hadi tarehe 18 na baada ya hapo zitauzwa ticket kwenye vituo kwa 35,000 hadi saa kumi jioni ya tareh 23/11.
Na baada ya hapo watakao nunulia mlangoni itakuwa 50,0000/=
Ni kweli mimi nimshamba lakini sina sababu ya kufanya propaganda kwenye biashara za watu.
Sheria za jf ziko wazi kabisa kama umeshawai kuzipitia utagundua kuwa adhabu ya kusema uongo kwenye hii forum ni hipi.
Kama itakuwa tofauti na nilivyo sema basi sheria na adhabu zifate mkondo bila huruma.
Sina sababu ya kusema uongo.