24Hrs Season 4:Nimeshindwa kuielewa baadhi ya episode msaada tafadhari..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Salute Comrades..
Nimeangalia hii season kuna vipande sijavielewa kabisa mwenye kuelewa anipe Summary..
Kipande kipi..?
-Ni kile kipande kinachoanza Baada ya Rais kudunguliwa na Bomu rakajeruhika (hakufa) baadae Vice President akaapishwa kuwa Rais wa mpito wa USA
UTATA..
Baada ya Vice president kua rais akaanza kua yupo Kinyume na C.T.U (Counter Terrorist Unit) Hasa Jack Bauer na Operations zake, Baadae akaja David Palmer akawa anatoa Order kwa Jack Bauer kama Rais. Sasa nimeshindwa gundua alikua na cheo gani pale ikulu maana SEASON 3 alikua President yeye..

So David Palmer alicheza nafasi ipi kwenye hii season...?

I love You so much japo umezeeka...!

-Da'Vincio Learning
 
Mombasa kuna raha jaman

Kina aisha mwajuma Ndala ndeefu mwana Aisha na n.k

Mombasa raha jmn
 
David Palmer na jack bauer wana historia ndefu tangu season 1, jack aliokoaga maisha ya palmer, kimsingi ni zaidi ya marafiki. Baada ya rais wa season 4 kudunguliwa akiwa kwenye airforce 1 na gaidi Habib Marwan na kushindwa kuendelea na majukumu yake, mzee wa maboko Charles Logan aliekua vice president akaapishwa kua rais. Ila Logan na Jack hawana historia nzuri sana na mahusiano yao kwa ujumla hayako poa. Kuna sehemu kuna jamaa mmoja aliekua associated na terrorists alikua anashkiliwa ctu, na baada ya jamaa wa ctu kushindwa kupata info toka kwa jamaa, jack akaenda kinyume na direct order ya logan, akamtorture jamaa mpaka akapata alichokua anakitaka. Logan ndo alipotoa arrest warrant ya bauer, wakati huo jack akiwa kwenye operation ya kumkamata marwan pale club. Baada ya watu wa logan kuonekana na walinzi wa marwan na jamaa kufanikiwa kutoroka mahusiano ya logan na jack yakazidi kuingia dosari, na logan ikaonekana kama hana uzoefu wa kuhandle crisis za kigaidi, ndipo mike novic chief of staffs aliposhauri aletwe david palmer kusimamia show coz ana uzoefu na mikikimikiki ya magaidi toka seasons za nyuma
 
Thanks mkuu somehow i got a picture..
 
Aisee unashika mambo vizuri sana,yaani nimesoma nimeikumbuka film yote
 
Mpaka hapa unaonekana huna kipaji cha kuangalia series kama 24 imekushinda Lost au series zingine kama House of cards au Game of Thrones huwezi angalia kwahyo kaa pembeni
 
Mpaka hapa unaonekana huna kipaji cha kuangalia series kama 24 imekushinda Lost au series zingine kama House of cards au Game of Thrones huwezi angalia kwahyo kaa pembeni
Tulia mpenz mm niko vzr upande wa siriz
 
Mpaka hapa unaonekana huna kipaji cha kuangalia series kama 24 imekushinda Lost au series zingine kama House of cards au Game of Thrones huwezi angalia kwahyo kaa pembeni
Kuna series zingine ngumu asikwambie mtu
Kuna Ile last ship ilinusumbua hadi nikairudia ndo nikaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…