red bandama
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 483
- 574
Series inahitaji akili nying kuzielewa ndo mana wengi wanakimbilia za dj mafiiii ahahHuwez kua jinias kwa kuangalia series kama n kilaza n kilaza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Series inahitaji akili nying kuzielewa ndo mana wengi wanakimbilia za dj mafiiii ahahHuwez kua jinias kwa kuangalia series kama n kilaza n kilaza tu
Series inahitaji akili nying kuzielewa ndo mana wengi wanakimbilia za dj mafiiii ahah
Series gani kali ya kikorea unaikubaliTupo wachache tunaoangalia series
Series gani kali ya kikorea unaikubali
Aha afu we ukiangalia moja utanogewaHua siangalii huo uchafu me nime base hollwood
David Palmer na jack bauer wana historia ndefu tangu season 1, jack aliokoaga maisha ya palmer, kimsingi ni zaidi ya marafiki. Baada ya rais wa season 4 kudunguliwa akiwa kwenye airforce 1 na gaidi Habib Marwan na kushindwa kuendelea na majukumu yake, mzee wa maboko Charles Logan aliekua vice president akaapishwa kua rais. Ila Logan na Jack hawana historia nzuri sana na mahusiano yao kwa ujumla hayako poa. Kuna sehemu kuna jamaa mmoja aliekua associated na terrorists alikua anashkiliwa ctu, na baada ya jamaa wa ctu kushindwa kupata info toka kwa jamaa, jack akaenda kinyume na direct order ya logan, akamtorture jamaa mpaka akapata alichokua anakitaka. Logan ndo alipotoa arrest warrant ya bauer, wakati huo jack akiwa kwenye operation ya kumkamata marwan pale club. Baada ya watu wa logan kuonekana na walinzi wa marwan na jamaa kufanikiwa kutoroka mahusiano ya logan na jack yakazidi kuingia dosari, na logan ikaonekana kama hana uzoefu wa kuhandle crisis za kigaidi, ndipo mike novic chief of staffs aliposhauri aletwe david palmer kusimamia show coz ana uzoefu na mikikimikiki ya magaidi toka seasons za nyuma
Shukran mkuuUmeelezea vizuri sana.