Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Salute Comrades..
Nimeangalia hii season kuna vipande sijavielewa kabisa mwenye kuelewa anipe Summary..
Kipande kipi..?
-Ni kile kipande kinachoanza Baada ya Rais kudunguliwa na Bomu rakajeruhika (hakufa) baadae Vice President akaapishwa kuwa Rais wa mpito wa USA
UTATA..
Baada ya Vice president kua rais akaanza kua yupo Kinyume na C.T.U (Counter Terrorist Unit) Hasa Jack Bauer na Operations zake, Baadae akaja David Palmer akawa anatoa Order kwa Jack Bauer kama Rais. Sasa nimeshindwa gundua alikua na cheo gani pale ikulu maana SEASON 3 alikua President yeye..
So David Palmer alicheza nafasi ipi kwenye hii season...?
I love You so much japo umezeeka...!
-Da'Vincio Learning