Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile faili kule The Hague halijaingia vumbi badoNi visa juu ya visa kama ungependa kutumia maneno kama hayo, au wengine husema "kaa n mbwai ni mbwai" kwa lafudhi ya kisambaa.
Ni visa juu ya visa kama ungependa kutumia maneno kama hayo, au wengine husema "kaa n mbwai ni mbwai" kwa lafudhi ya kisambaa.
Hague kisa nini? Hivi mmeshamaliza ile kesi yenu ya ugaidi dhidi ya yule kiongozi wa upinzani? Alafu yule mwingine aliyetoroka chini ya ulinzi mkali wa mabeberu alisharejea nchini?Lile faili kule The Hague halijaingia vumbi bado
Hapo kwenye "Huyu" sasa.
Nadhani wakishamalizana na "huyu" na zoezi litaishia hapo.
In Africa Rais anayeondoka ndio anachagua nani amwachie kijiti hata ufanye nini ndio ipo hivyo.huyo Ruto anajiona mjanja huku umaarufu wake umetokana na Odinga na Uhuru aliyekupandisha anaweza kukushusha pia.And finally Ruto is going to win against Uhuru and 2020 election.
Ni visa juu ya visa kama ungependa kutumia maneno kama hayo, au wengine husema "kaa n mbwai ni mbwai" kwa lafudhi ya kisambaa.
BBI hawakuibuka nayo kisa DP Ruto, ilianza baada ya ile 'handshake' ya rais UK na Raila Odinga. Ruto mwenyewe alikuwa ndani ya mchakato huo, hapo mwanzoni, kabla hajaanza malumbano yake na rais.Hii Clip ya zamani sana,hiyo life style audit haikufanyika kabisa,walikuja na BBI,wakachemka,juzi wamembadilishia walinzi Kwake,wamechemka,sasa hv wanataka ajiuzuru,amegoma,kwa ufupi,Ruto yupo mpaka august 2022 ndio kitaeleweka
Kwa iyo utachagua ruto au odingaBBI hawakuibuka nayo kisa DP Ruto, ilianza baada ya ile 'handshake' ya rais UK na Raila Odinga. Ruto mwenyewe alikuwa ndani ya mchakato huo, hapo mwanzoni, kabla hajaanza malumbano yake na rais.
BBI ilikuwa ya manufaa mengi kwa nchi ya Kenya, kwa asilimia kubwa sana. Ila Uhuru na mwenzake RAO walichemsha walipoendesha shughuli za mchakato wenyewe kiubabe. Bila kuzingatia kanuni na sheria, zinazohusu vuguvugu za sampuli hiyo kikatiba.
Mimi mwenyewe simuungi mkono DP Ruto, siasa wala sera zake. Ila nipo upande wake linapokuja suala la 'hujuma' dhidi yake kutoka kwa 'collabo' ya Raila na Uhuru na serikali yake.
Zaidi ya yote alinipendeza sana alivyobadilisha gumzo za kisiasa nchini Kenya. Kutoka kwa masuala ya ovyo, hadi kwenye masuala yenye tija. Kisa sera yake ya kiuchumi, almaarufu kama 'Bottom-Up approach'.
Kumbuka kwamba William Samoei Kipchirchir Arap Ruto sio makamu wa rais, bali ni naibu rais. 'Mandate' yake kama naibu rais tulimpa sisi wakenya, kupitia kura tulizompigia yeye. Hakupewa cheo hicho na rais Uhuru Kenyatta, yupo hapo kwa nguvu ya katiba. Ndio maana hawawezi wakampiga kalamu.
'Akae ngumu', kama wakenya wanavopenda kusema, na asitishike na kelele za rais, RAO na wapambe wao. Bado ana nafasi nyeti sana kwenye siasa za Kenya na sio tu kwenye nafasi ya urais.
Yote Sawa tu,BBI hawakuibuka nayo kisa DP Ruto, ilianza baada ya ile 'handshake' ya rais UK na Raila Odinga. Ruto mwenyewe alikuwa ndani ya mchakato huo, hapo mwanzoni, kabla hajaanza malumbano yake na rais.
BBI ilikuwa ya manufaa mengi kwa nchi ya Kenya, kwa asilimia kubwa sana. Ila Uhuru na mwenzake RAO walichemsha walipoendesha shughuli za mchakato wenyewe kiubabe. Bila kuzingatia kanuni na sheria, zinazohusu vuguvugu za sampuli hiyo kikatiba.
Mimi mwenyewe simuungi mkono DP Ruto, siasa wala sera zake. Ila nipo upande wake linapokuja suala la 'hujuma' dhidi yake kutoka kwa 'collabo' ya Raila na Uhuru na serikali yake.
Zaidi ya yote alinipendeza sana alivyobadilisha gumzo za kisiasa nchini Kenya. Kutoka kwa masuala ya ovyo, hadi kwenye masuala yenye tija. Kisa sera yake ya kiuchumi, almaarufu kama 'Bottom-Up approach'.
Kumbuka kwamba William Samoei Kipchirchir Arap Ruto sio makamu wa rais, bali ni naibu rais. 'Mandate' yake kama naibu rais tulimpa sisi wakenya, kupitia kura tulizompigia yeye. Hakupewa cheo hicho na rais Uhuru Kenyatta, yupo hapo kwa nguvu ya katiba. Ndio maana hawawezi wakampiga kalamu.
'Akae ngumu', kama wakenya wanavopenda kusema, na asitishike na kelele za rais, RAO na wapambe wao. Bado ana nafasi nyeti sana kwenye siasa za Kenya na sio tu kwenye nafasi ya urais.
Neither, kuna wagombea urais wengine ambao wamejitokeza na wananivutia zaidi. Kisera, kimaarifa, kiuchapa kazi na mengine mengi zaidi. Kunaye Mukhisa Kituyi, ambaye alijiuzulu kama katibu mkuu wa UNCTAD, ili awanie kiti cha urais. Kuna gavana Kivutha Kibwana wa gatuzi la Makueni, ambaye 'track record' yake ipo juu sana.Kwa iyo utachagua ruto au odinga
Nikweli uyasemayo but Do Ruto yupo verIn Africa Rais anayeondoka ndio anachagua nani amwachie kijiti hata ufanye nini ndio ipo hivyo.huyo Ruto anajiona mjanja huku umaarufu wake umetokana na Odinga na Uhuru aliyekupandisha anaweza kukushusha pia.