Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Ruto anapendeka na makabila yote Kenya bila kujilazimisha✊Ruto Mpaka ikulu2022🔥🔥🔥🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hah hahahh nakubaliana nawe mkuu💯In Africa Rais anayeondoka ndio anachagua nani amwachie kijiti hata ufanye nini ndio ipo hivyo.huyo Ruto anajiona mjanja huku umaarufu wake umetokana na Odinga na Uhuru aliyekupandisha anaweza kukushusha pia.
Kwa hiyo Ruto sio Dynasty?Yote Sawa tu,
Ila handshake ilifanyika kwa kificho,Ruto hakuwa anajua kinachoendelea,
Sasa hv upinzani,ODM na wenzie wapo na Uhuru kuhakikisha Ruto haingii Ikulu 2022!
Jamaa Mimi namkubali sana,unaandamwa na Raisi wa nchi na vyombo vyake vyote vya usalama lakini upo tu!!
Watu kama Aden duale,Murkomen,Wale wote ambao ni pro Ruto,Tangatanga gang,huwa na admire sana misimamo yao,Richa ya kusumbuliwa na "deepstate"
Namuombea The Hustler aingie Ikulu,atuondolee "dynasty ya kina Uhuru na Odinga,tunataka an "outsider"aje Ikulu,kama ilivyotokea Zambia.
Keep it up,Chief chicken seller!
Huyu ni chui mwingneRuto is not the right person to lead Kenya.... Let us make Odinga the president