Yote Sawa tu,
Ila handshake ilifanyika kwa kificho,Ruto hakuwa anajua kinachoendelea,
Sasa hv upinzani,ODM na wenzie wapo na Uhuru kuhakikisha Ruto haingii Ikulu 2022!
Jamaa Mimi namkubali sana,unaandamwa na Raisi wa nchi na vyombo vyake vyote vya usalama lakini upo tu!!
Watu kama Aden duale,Murkomen,Wale wote ambao ni pro Ruto,Tangatanga gang,huwa na admire sana misimamo yao,Richa ya kusumbuliwa na "deepstate"
Namuombea The Hustler aingie Ikulu,atuondolee "dynasty ya kina Uhuru na Odinga,tunataka an "outsider"aje Ikulu,kama ilivyotokea Zambia.
Keep it up,Chief chicken seller!