Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
ni kweli kabisa, waliosema mrithi wa Ngasa kapatikana hawakukosea. leo ndo mchezaji bora wa mechi hii akifuatiwa na kipa wa vila.
Hata Kaseke naye kacheza vizuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli kabisa, waliosema mrithi wa Ngasa kapatikana hawakukosea. leo ndo mchezaji bora wa mechi hii akifuatiwa na kipa wa vila.
alaal itakuwa nilichelewa kuwasha,maana nimeoma moja kwa moja wanaingia kisha nikasikia kwamba walichelewa kufika kwakuwa nauli ilikuwa issue.Ila hiyo umeyoweka 11.47 mbona hapo tata
Aisee Mie Shabiki wa AZAM dam.
Lakini ngozi inayopigwa na yanga kwa hizi dakika ni balaa.
Pengo la Ngasa bado lipo wanayanga,fanyehi mnavyoweza mchukueni Singano
Hata Kaseke naye kacheza vizuri...
Huku Kaseke, kule Mwashiuya; wote Wanyakyusa, hongereeni sana watani zangu kwa kujiunga na timu ya wananchi.
Kwa bhasungu nkamu...
Ikisu kya panja...
Bwana awe nawe na akutunze......
Aiseee! huku niliko mimi kila kundi unaloenda wanazungumziwa hawa wanyakyusa yaani ni balaaaaa......Huku Kaseke, kule Mwashiuya; wote Wanyakyusa, hongereeni sana watani zangu kwa kujiunga na timu ya wananchi.
nitajie mchezaji aliyemnyan'ganya filimbi mwamuzi na kujiamulia penalti! Penalti yoyote ni lazima itolewe na mwamuzi!Bila bila.
Msuva amekosa Penalt ya kupewa