Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka sana njoo kwa imagination..... Lol
ingekuwa ni simba, villa wangekoma!
Alo kk hivi hiyo live streaming VIP ulaji wake wa mb ukiangalia
Umeme na mechi kuna uhusiano gan mkuu? Au wachezaji wanachezeshwa na umeme?
Mkuu huku nilipo internet sio ya mawazo...
Unalipia unlimited kwa mwezi na unapata speed ya kustream hata mechi kumi kwa wakati mmoja...
Kwa TZ ukitaka kustream uwe unajiunga na vifurushi vile vya unlimited...
Basi anajua. Apewe tu chance Na asilewe sifaAnaitwa Godfrey Mwashiuya katokea Kimondo FC ya Mbozi...
ingekuwa ni simba, villa wangekoma!
Hahahahahaahah on my way....ila septemba mwishoni nitakuwepo huko.
Hiyo ndiyo timu ya kulinganisha na timu ya kimataifa? Ikiwa mikia fc ni wa mchangani, wanalizombe ni wa wapi?
Yanga naipenda sana..shida rangi tu ya jezi zao!
unaipenda yanga? una hakika akili yako iko sawa??
Mataifa ya Wapi mbona mnaishia mtoano tu??
Timu yenu imetoa nusu ya wachezaji wa timu ya Taifa,ila bado hiyo timu daily inapigwa!!
Aisee Mie Shabiki wa AZAM dam.
Lakini ngozi inayopigwa na yanga kwa hizi dakika ni balaa.
Pengo la Ngasa bado lipo wanayanga,fanyehi mnavyoweza mchukueni Singano
Kwa sasa nipo Taifa ili nione mechi ya kimataifa kati ya Yanga vs sc villa ya Uganda, mpaka sasa timu ya villa haijawarm up na haijulijani kama kuna mechi leo. Villa wanataka wapewe kiasi cha dolla 10000 cash kabla ya kuanza mchezo kama contract inavyoeleza. Yanga pamoja na muuandaaji kwanza promotion hawana
Huyu Godfrey Mwashiuya wa Yanga anaonekana mzuri sana...
Anajua kujiweka sehemu sahihi wakati sahihi...