27 June 2015: Yanga SC vs SC Villa [Mechi ya kimataifa ya kirafiki]

27 June 2015: Yanga SC vs SC Villa [Mechi ya kimataifa ya kirafiki]

hapana wamefanya warmimg up. wameingia uwanjani saa 11.47 kwa warming up halafu wakarudi vyumbani.
alaal itakuwa nilichelewa kuwasha,maana nimeoma moja kwa moja wanaingia kisha nikasikia kwamba walichelewa kufika kwakuwa nauli ilikuwa issue.Ila hiyo umeyoweka 11.47 mbona hapo tata
 
Haya ngoja tuweke uzalendo mbele.... Kila la heri Yanga.....
 
Aisee Mie Shabiki wa AZAM dam.
Lakini ngozi inayopigwa na yanga kwa hizi dakika ni balaa.
Pengo la Ngasa bado lipo wanayanga,fanyehi mnavyoweza mchukueni Singano
 
alaal itakuwa nilichelewa kuwasha,maana nimeoma moja kwa moja wanaingia kisha nikasikia kwamba walichelewa kufika kwakuwa nauli ilikuwa issue.Ila hiyo umeyoweka 11.47 mbona hapo tata

pole sana mie nilikuwa naangalia tangu saa kumi kamili. Hta kocha wa vila amehojiwa na kuelezea ni kwanini wamechelewa kuja uwanjani kama ilivyotarajiwa uwanjani saa kumi wakati wachezaji wanafanya warming up
 
Kikosi cha Yanga dhidi ya SC Villa.
1. Ally Mustapha Mtinge "Bartez"
2. Juma Abdul Mnyamani
3. Oscar Fanuel Joshua
4. Nadir Ally Haroub "Cannavaro" 5. Kelvin Patrick Yondani "Cotton"
6. Mbuyu Twite
7. Deus Kaseke
8. Salum Telela "Abo Telela"
9. Malimi Busungu
10. Amis Jocelyn Tambwe 11. Geofrey Mashiuya
 
Yanga wanamiliki mpira sana lakini wanashindwa kucheza pasi za mwisho...
 
Jambo la kushangaza mchezaji aliyekuwa akifanya majaribio Yanga...

Kamara leo anachezea SC Villa na sababu ni Yanga kutoridhishwa na kiwango chake...

Sasa hatma yake Yanga sijui ipo vipi...

Jamaa wa kawaida sana ! Twite kamfunika pale kati
 
Hii mechi watashinda kwa vile haina umuhimu,kama taifa stars huwa wanavyoshinda mechi za kirafiki
 
Kikosi cha Yanga dhidi ya SC Villa.
1. Ally Mustapha Mtinge "Bartez"
2. Juma Abdul Mnyamani
3. Oscar Fanuel Joshua
4. Nadir Ally Haroub "Cannavaro" 5. Kelvin Patrick Yondani "Cotton"
6. Mbuyu Twite
7. Deus Kaseke
8. Salum Telela "Abo Telela"
9. Malimi Busungu
10. Amis Jocelyn Tambwe 11. Geofrey Mashiuya

Asante sana kwa list hii, mpira wetu haukui mpaka tunatekwa na club za mbele......
 
Back
Top Bottom