27 June 2015: Yanga SC vs SC Villa [Mechi ya kimataifa ya kirafiki]

27 June 2015: Yanga SC vs SC Villa [Mechi ya kimataifa ya kirafiki]

Busungu kajaribu kufyatua kombora la mbali takribani mita 25 hivi na mpira unatoka nje...
 
Tambwe anakosa nafasi ya wazi...

Anashindwa kupiga banana kick...
 
Wanajukwaa tujiunge hapa kupeana mawili matatu baina ya mpambano wa kirafiki wa kimataifa baina ya Yanga SC ya Tanzania dhidi ya SC Villa ya Uganda.

Yanga wamevalia jezi za manjano kuanzia bukta hadi fulana wakati SC Villa wamevalia jezi za bluu huku soksi zao zikiwa na michirizi ya rangi ya bluu na nyeupe.

Mpambano ndio unaanza muda si mrefu na ni mpambano wa hisani katika kuchangia fedha kwa watu wenye mahitaji muhimu.

[Size =5]Yanga SC 0 - 0 SC Villa
Dk 45 HT
[/size]

Livestream: AZAM Media Flash Page


yanga 2 1 villa s.c
 
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza...
 
Kaseke anakosa goli la wazi...

Mpira unagonga besela...
 
Nasikitika kuwaeleza kuwa dakika 2 zijazo sitaweza kupost updates...

Nategemea kutazama Azam Two online ambao hawataendelea kuonesha hii mechi...

Mechi itahamishiwa channel 100 (Info Channel) ambayo haipatikani online...

Updates:

Watangazaji wanatoa taarifa kuwa pambano litaendelea kuoneshwa Azam Two

Nami nitaendela kuwepo hapa...
 
Kamara anatoka...

Naona mashabiki wakimzomea...

Bila shaka Yanga hawatakuwa tena na Kamara...

Dk 75

Yanga 0 - 0 Villa
 
Dk 78

Yanga inapata penati...

Wachezaji wa Villa wanamsonga refa...

Msuva anapiga penati na kukosa...anapaisha juu
 
Back
Top Bottom