Baada ya tarehe ishirini na nane itakuwa ni mwendo wa kubeba vitu tumboni kama nungunungu! Ukifika zako home unatapika bidhaa zako zote juu ya meza kisha unaanza kukagua kaa zote zipo! Hehe, ole wako ukikosa kilo ya misumari ulonunua tu masaa mawili hayajapita! Hapo unajua tu yatakayokukumba wakati utakapofika wa kuchuchumaa na kukunja sura! 😀