28/8 ni mwisho wa kutumia mifuko ya plastiki

28/8 ni mwisho wa kutumia mifuko ya plastiki

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Serikali kupitia wizara ya mazingira imeshikilia kuwa marufuku ya utumizi wa karatasi za plastiki humu nchini lazima ifanyike. Haya yanajiri zikisalia siku chache tu kabla ya tarehe 28 mwezi Agosti iliyotajwa kama tarehe ya kutekeleza marufuku hiyo huku halmashauri ya watengenezaji bidhaa ikielekea mahakamani kupinga marufuku hiyo.



Chanzo: Citizen Tv
 
Baada ya tarehe ishirini na nane itakuwa ni mwendo wa kubeba vitu tumboni kama nungunungu! Ukifika zako home unatapika bidhaa zako zote juu ya meza kisha unaanza kukagua kaa zote zipo! Hehe, ole wako ukikosa kilo ya misumari ulonunua tu masaa mawili hayajapita! Hapo unajua tu yatakayokukumba wakati utakapofika wa kuchuchumaa na kukunja sura! 😀
 
serikali imefanya vizuri kwa sababu haya makartasi ya plastiki yamejaa kila sehemu na hasa miji mikubwa na mandhari yaliyokua yakivutia saizi hautamani kuyaona.Juzi nimepita gilgil na hayo makartasi yamejaa kila kona
 
It is almost impossible to live without plastic bags...watafute tu namna ya ku dispose ili zisiharibu mazingira. Sasa kwanin hizo plastic bags za kufungia mikate wameiruhusu?
 
Back
Top Bottom