real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Serikali kupitia wizara ya mazingira imeshikilia kuwa marufuku ya utumizi wa karatasi za plastiki humu nchini lazima ifanyike. Haya yanajiri zikisalia siku chache tu kabla ya tarehe 28 mwezi Agosti iliyotajwa kama tarehe ya kutekeleza marufuku hiyo huku halmashauri ya watengenezaji bidhaa ikielekea mahakamani kupinga marufuku hiyo.
Chanzo: Citizen Tv
Chanzo: Citizen Tv