Uchaguzi 2020 28 Oktoba vita ya ama zao, ama zangu; kiama chao, ama changu; chama chao, ama changu. Amiri Jeshi Mkuu katangaza vita, watoto wa mama wanachonga sana!

Pascal Mayalla,
Why exactly are you doing this? Kweli na wewe unaamini Mh. Tundu Antiphas Lissu ni msaliti! What's wrong with you au nawe unaamini Mh. Tundu Antiphas Lissu anataka kutuletea ushoga!

What's wrong with us Tanzanians. Kweli tunaamini Mh. Tundu Antiphas Lissu amelipwa kuuza nchi!

Cry! My beloved country!
 
Yaani from hero mpaka kuwa kama Bia yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli ni lazima kuitoa Ccm madarakani mwaka huu. Imefanya watu kuwa wapumbavu kwa kweli

Yaani mtu kutoa naoni yaliyo tofauti na wewe imekuwa upumbavu?

Hivi huyo Lissu kawapora akili kabisa?
 
Umepotea sana Mayalla
 
Mag3
Endeleni kupiga mayowe humu. Huku field sisi tunamalizia kazi ili tarehe 28 wazee wa faraga muambulie 20%
 
Sawa poti.
 
Hiyo external service ilikuwa inatangaza kiingereza pascal. Wewe ulikuwa unatumia lugha gani? Au kipindi chako hakikuwa kikihitaji sana kiingereza? Mi naikumbuka hiyo station na kama sikosei ilikiwa inapatikana kwenye Short Waves.

Waandishi wengi wa pale walikuwa wanafahamu kiingereza. Mimi nlikuwa nasikiliza sababu nlikuwa napenda kujua dunia inajulishwa nini kuhusu sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…