Uchaguzi 2020 28 Oktoba vita ya ama zao, ama zangu; kiama chao, ama changu; chama chao, ama changu. Amiri Jeshi Mkuu katangaza vita, watoto wa mama wanachonga sana!

Uchaguzi 2020 28 Oktoba vita ya ama zao, ama zangu; kiama chao, ama changu; chama chao, ama changu. Amiri Jeshi Mkuu katangaza vita, watoto wa mama wanachonga sana!

Pascal Mayalla,
Why exactly are you doing this? Kweli na wewe unaamini Mh. Tundu Antiphas Lissu ni msaliti! What's wrong with you au nawe unaamini Mh. Tundu Antiphas Lissu anataka kutuletea ushoga!

What's wrong with us Tanzanians. Kweli tunaamini Mh. Tundu Antiphas Lissu amelipwa kuuza nchi!

Cry! My beloved country!
 
Yaani from hero mpaka kuwa kama Bia yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli ni lazima kuitoa Ccm madarakani mwaka huu. Imefanya watu kuwa wapumbavu kwa kweli

Yaani mtu kutoa naoni yaliyo tofauti na wewe imekuwa upumbavu?

Hivi huyo Lissu kawapora akili kabisa?
 
Wanabodi,

Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja hiki, Night Shift wanaingia mapema! Hivyo kwa wale wenzangu na mimi ambao macho hayalali njaa, kiwanja hiki wanashiba mapema!..
Umepotea sana Mayalla
 
Wanabodi,

Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja hiki, Night Shift wanaingia mapema! Hivyo kwa wale wenzangu na mimi ambao macho hayalali njaa, kiwanja hiki wanashiba mapema!...
Sawa poti.
 
Hiyo external service ilikuwa inatangaza kiingereza pascal. Wewe ulikuwa unatumia lugha gani? Au kipindi chako hakikuwa kikihitaji sana kiingereza? Mi naikumbuka hiyo station na kama sikosei ilikiwa inapatikana kwenye Short Waves.

Waandishi wengi wa pale walikuwa wanafahamu kiingereza. Mimi nlikuwa nasikiliza sababu nlikuwa napenda kujua dunia inajulishwa nini kuhusu sisi.
 
Back
Top Bottom