Uchaguzi 2020 28 Oktoba vita ya ama zao, ama zangu; kiama chao, ama changu; chama chao, ama changu. Amiri Jeshi Mkuu katangaza vita, watoto wa mama wanachonga sana!

Uchaguzi 2020 28 Oktoba vita ya ama zao, ama zangu; kiama chao, ama changu; chama chao, ama changu. Amiri Jeshi Mkuu katangaza vita, watoto wa mama wanachonga sana!

Vita hainaga macho, sheria wala kanuni, ukiamua kuingia vitani ni kushambulia adui na kuteketeza kabisa!.

Usikilize tena Ama Zao Ama Zangu.
P
 
Yaani from hero mpaka kuwa kama Bia yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli ni lazima kuitoa CCM madarakani mwaka huu. Imefanya watu kuwa wapumbavu kwa kweli
Kamanda sikusomi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanabodi,

Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja hiki, Night Shift wanaingia mapema! Hivyo kwa wale wenzangu na mimi ambao macho hayalali njaa, kiwanja hiki wanashiba mapema!

Zimepigwa Old is Gold zikanikumbusha mbali mara ukapigwa wimbo wa King Crazy GK wa East Coast featuring Lady JD wa Ama Zao Ama Zangu.



Wimbo huu umenifikirisha sana kuhusu uchaguzi wa mwaka huu, mambo ya uchaguzi huu wa tarehe 28 October, ni kama vita kubwa ya

"Ama Zao, Ama Zangu"
"Kiama Chao Ama Changu"
"Chama Chao Ama Changu"


Amiri Jeshi Wetu Mkuu, Tayari Ameisha tangaza vita kuu ya tatu ya mapinduzi ya uchumi kujenga Tanzania ya viwanda, Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati, sasa iweje bado kuna hawa watoto wa mama wanachonga sana?

Nimejaribu kutafuta lyrics za huu wimbo zikufanikiwa kuzipata. Wengi wanaonijua humu JF, wananijua Pasco Mayalla kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, lakini sio wengi humu wanajua kuwa Pasco Mayalla pia ni Mtangazaji wa Television kwa miaka 10, toka 1995- 2000, DTV na 2000-2005 TBC.

Ila kabla sijawa mtangazaji wa TV, nilikuwa Mtangazaji wa Redio, Radio Tanzania Dar es Salaam, RTD, mwaka 1990-1995, nikiwa Radio DJ, nikitangazia External Service. Enzi hizo kuna baadhi humu walikuwa sio hawajazaliwa bali hata hawajafikiriwa kuzaliwa!

Pale RTD, wimbo hauwezi kupokelewa bila kwanza kuwasilisha lyrics, hivyo kulikuwa na vipaji kibao wanaimba ad lib, lakini hawajui kuandika, hivyo nimesaidia sana kuandika lyrics za nyimbo kibao pale RTD.

Kufuatia wimbo huu kunigusa, na kukuta hauna lyrics, kama Joni Mtembezi asiponizidia, nitakushushia lyrics zake, na kukuambia uusikilize upya with uchaguzi Mkuu huu in your mind utadhani Mwana FA anamuimba mtu!

Hii sio mara yangu ya kwanza kuhusianisha nyimbo na uchaguzi.

Hizi ni rejea zangu:
Leo nimemkumbuka mwanamuziki Kikumbi Mwanza Mpango, King Kikii, aliposema "Tushike ya kwetu, tusiwape muda karagosi", karagosi ni nani?

Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi? 25/10 "Give It, "Just One More Try!"

Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"


Pasco

Mlamba viatu bila aibu aiseee
Screenshot_20201029-211815.png
 
Mag3
Endeleni kupiga mayowe humu. Huku field sisi tunamalizia kazi ili tarehe 28 wazee wa faraga muambulie 20%
Nadhani mtandaoni atarudi baada ya muda !Baada ya kushudia watanzania walivyoamua kuilinda nchi yao bila kupepesa macho.
 
Back
Top Bottom