nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,056
- 1,296
This is why tunasema nyinyi mumebebwa akili na propaganda , wakenya wanajua lugha zao za asili kushinda watzKumbe kiswahili unakijua....Sasa unajisikiaje kua cultural slave i.e language assimilated
Au huko Kenya mtu akiongea kakingereza Kama kako ndo anaonekana civilized!!....
Mwe utumwa wa kifikra
Kiswahili hakuna tafauti kwetu na kiingereza ,thats why mjaluo mkikuyu, mkalenjin na makabila zote huongea Kiswahili na accent yao lakini bado wanajua lugha zao za asili..
nyinyi ndo mnapoteza lugha zenu za kiafrika ati Kiswahili ndo lugha yenu