nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,056
- 1,296
This is why tunasema nyinyi mumebebwa akili na propaganda , wakenya wanajua lugha zao za asili kushinda watzKumbe kiswahili unakijua....Sasa unajisikiaje kua cultural slave i.e language assimilated
Au huko Kenya mtu akiongea kakingereza Kama kako ndo anaonekana civilized!!....
Mwe utumwa wa kifikra
This is why tunasema nyinyi mumebebwa akili na propaganda , wakenya wanajua lugha zao za asili kushinda watz
Kiswahili hakuna tafauti kwetu na kiingereza ,thats why mjaluo mkikuyu, mkalenjin na makabila zote huongea Kiswahili na accent yao lakini bado wanajua lugha zao za asili..
nyinyi ndo mnapoteza lugha zenu za kiafrika ati Kiswahili ndo lugha yenu
Zaidi ya 60% ya watanzania wanaishi vijijini sasa wanaachaje kujua lugha zao za asili? Zaidi ya 95% wanaongea lugha zao za asiliThis is why tunasema nyinyi mumebebwa akili na propaganda , wakenya wanajua lugha zao za asili kushinda watz
Kiswahili hakuna tafauti kwetu na kiingereza ,thats why mjaluo mkikuyu, mkalenjin na makabila zote huongea Kiswahili na accent yao lakini bado wanajua lugha zao za asili..
nyinyi ndo mnapoteza lugha zenu za kiafrika ati Kiswahili ndo lugha yenu
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa brathe, kiswahili is an assimilated language pia, kwa ajili ya biashara developed enzi zile wewe musukuma [emoji23][emoji23][emoji23], it is quite irrelevant globaly, not unless East Africa becomes a global power in business, which may not happen in our time, now English is the language of business across., ata ukitaka kununua mali China utatuma ombi kwa kizungu wala sio kwa kichina.,[emoji23][emoji23][emoji23], elewa dunia ya sasa wacha kushikilia kile ambacho hakitakusaidia sana, be liberal, know many languages, Kifaransa, kijerumani ki China na kadhalika.
Elewa basi chimbuko la Kiswahili. Kiswahili kilitokana na muingiliano wa lugha za kibantu, so n yaasili kwasababu inaunganisha all Bantu ethnicities.Huwa wa ajabu sana hawa, unakuta Msukuma anang'ang'ania Kiswahili eti ndio lugha yake ya asili, halafu wana hulka ya kuona ushamba kwa mtu kuongea lugha yake ya asili.
This is why tunasema nyinyi mumebebwa akili na propaganda , wakenya wanajua lugha zao za asili kushinda watz
Kiswahili hakuna tafauti kwetu na kiingereza, thats why mjaluo mkikuyu, mkalenjin na makabila zote huongea Kiswahili na accent yao lakini bado wanajua lugha zao za asili.
nyinyi ndo mnapoteza lugha zenu za kiafrika ati Kiswahili ndo lugha yenu
You sound defeated 😉 work harder next time.It doesn't matter
Elewa basi chimbuko lakiswahili...kiswahili kilitokana na muingiliano wa lugha za kibantu....so n yaasili kwasababu inaunganisha all Bantu ethnicities
Huu upuuzi Tanzania tulishaachana nao tangu zamani tu. GDP siyo kipimo sahihi cha maendeleo au hali halisi ya maisha ya watu. MASKINI wa kenya ni MASKINI halisi!! Hana nyumba, hana ardhi na hawezi kujikwamua na watoto wake watarithi umaskini huo. GDP kubwa haimsaidii chochote. Kimsingi Tanzania hakuna MASKINI maana kila mtanzania ana uwezo wa kuwa na nyumba, na kila mtanzania ana ardhi kubwa ya kumtosha!! Tanzania hakuna MASKINI halisi japo kuna MASKINI wa kufikirika!! Mtu ana ardhi eka 10 kwa uchache utasemaje ni MASKINI halisi?? Hakuna mtanzania anayeishi kwenye nyumba ya makaratasi na kutumia "flying toilets" kama huko kenya!Nadhani hoja ya mleta mada ilikuwa inawalenga wanabiashara ambao shughuli zao huwa wanazifanyia hapa AM. Sio nyinyi makajamba ambao hamjatia mguu wenu nje ya vijiji vyenu. Unasema Kenya ndio kikwazo wakati ipo @ $98.6B na Tz mnaisoma namba mkiwa $62.2? Muda sio mrefu Kenya itagonga digit sita kama Morocco na wenzao kwenye Top 5.
Kajifukize aisee akili iyeyuke naona imeganda.Huu upuuzi Tanzania tulishaachana nao tangu zamani tu. GDP siyo kipimo sahihi cha maendeleo au hali halisi ya maisha ya watu. MASKINI wa kenya ni MASKINI halisi!! Hana nyumba, hana ardhi na hawezi kujikwamua na watoto wake watarithi umaskini huo. GDP kubwa haimsaidii chochote. Kimsingi Tanzania hakuna MASKINI maana kila mtanzania ana uwezo wa kuwa na nyumba, na kila mtanzania ana ardhi kubwa ya kumtosha!! Tanzania hakuna MASKINI halisi japo kuna MASKINI wa kufikirika!! Mtu ana ardhi eka 10 kwa uchache utasemaje ni MASKINI halisi?? Hakuna mtanzania anayeishi kwenye nyumba ya makaratasi na kutumia "flying toilets" kama huko kenya!
Machungu ya nini? Jikwamue kwa umasikini wa kimawazo la sivyo ufukara ule wa mababu zako itakuandama siku zako zote duniani, naona pia utaambukiza watoto wako, wajukuu na vitukuu ukiendelea hivi [emoji23][emoji23], nenda uombewe kaka, pole naona umekerwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu upuuzi Tanzania tulishaachana nao tangu zamani tu. GDP siyo kipimo sahihi cha maendeleo au hali halisi ya maisha ya watu. MASKINI wa kenya ni MASKINI halisi!! Hana nyumba, hana ardhi na hawezi kujikwamua na watoto wake watarithi umaskini huo. GDP kubwa haimsaidii chochote. Kimsingi Tanzania hakuna MASKINI maana kila mtanzania ana uwezo wa kuwa na nyumba, na kila mtanzania ana ardhi kubwa ya kumtosha!! Tanzania hakuna MASKINI halisi japo kuna MASKINI wa kufikirika!! Mtu ana ardhi eka 10 kwa uchache utasemaje ni MASKINI halisi?? Hakuna mtanzania anayeishi kwenye nyumba ya makaratasi na kutumia "flying toilets" kama huko kenya!
[emoji23][emoji23][emoji23]Machungu ya nini? Jikwamue kwa umasikini wa kimawazo la sivyo ufukara ule wa mababu zako itakuandama siku zako zote duniani, naona pia utaambukiza watoto wako, wajukuu na vitukuu ukiendelea hivi [emoji23][emoji23], nenda uombewe kaka, pole naona umekerwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuexport Gold kuliko Ghana..Our main crop Cashew haijafikia Cocoa ..its easier to do business in Ghana Than Tz...hatujaanza ku export Gas bado..i think those are some reasons were are lagging behind..but with reforms i see we will get thereGhana-Gold, oil and Cocoa.
Tz- Gold, Tanzanite, Gas and huge tracts of Arable Land.
Vicheko Vingi kama kahaba aliyeona bia havisaidii,anza ww kujikomboa kifikikra kuhusu ubaguzi wa kikabila,umaskini huondoka kwa kufanya kazi,ila ukabila haundoki vichwani mwenu milele.Machungu ya nini? Jikwamue kwa umasikini wa kimawazo la sivyo ufukara ule wa mababu zako itakuandama siku zako zote duniani, naona pia utaambukiza watoto wako, wajukuu na vitukuu ukiendelea hivi [emoji23][emoji23], nenda uombewe kaka, pole naona umekerwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Polepole tutafika tuHuwa tunawaponda sana wakenya huku.Ila kiukweli Tz kwa resources tulizo nazo tulitakiwa tuwe hata ndani ya top 3 ikishindikana sana top 5.
Maneno yote ya nini,Tz ndo baba wa Kiswahili duniani..,Kama English ilivyo kwa U.S and U.K.Jitihada za mwarabu na mbantu ndio asili ya kiswahili, chenyewe original kilitoka kwa Wangozi, kabila la pwani ya Kenya, soma historia Msukuma acha kutelekeza asili yako na kushadadia vya watu.
That is how the world economies are ranked based on performance, nyie mna uchumi hafifu, ni kelele tu, evidenced by revenue kidogo serially yenyu inakusanya kwa mwaka., port income Mombasa karibu iwazunguke, income from airports we double you., Nairobi's GDB inakaribia yenyu ya nchi nzima! Mko ovyo wacha kulenga facts, chapeni kazi.Who cares on GDP???!!!
Maneno yote ya nini,Tz ndo baba wa Kiswahili duniani..,Kama English ilivyo kwa U.S and U.K.