Morogoro is a First world Country, Kenya is a Third world country, Comparing Kenya with Morocco is ni Wenzawazinmu,What is Morocco having special?., such an economy haina future in Africa., growth rate imepungua, gap inapunguka, they are not far from us unlike Tz, so meza wembe. Oil is their major income apart from tourism and others., now oil ain't doing so well.
GDP even Nigeria Got Huge, infact Lagos GDP is bigger than the Entire Kenyas, but Nairobi can look developed than Lagos, sio?Kichwa chako kimeharibika. Morocco wana Gdp ya $120 billion na Kenya tuna $100 billion. Hakuna tofauti hapo mkuu.
Eti tofauti ya 25Bha ha tofauti ya Kenya na Morocco in gdp ni around 25B, yet gdp ya TZ na KE tofauti ni 38B,
kwa hivyo tusiweke KE na TZ kwenye sentensi moja pia???? 🙂 🙂
Hayo yote yanahitaji matumizi mazuri ya fedha za serikali na wawekezaji,Under JPM naamini tutasogea sana...Morogoro is a First world Country, Kenya is a Third world country, Comparing Kenya with Morocco is ni Wenzawazinmu,
Tazama hiyo Video na uone aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umecheki Hiyo video ya Morocco ?Hayo yote yanahitaji matumizi mazuri ya fedha za serikali na wawekezaji,Under JPM naamini tutasogea sana...
Btw South Africa ni bomba zaidi esp sandton ni balaa
Nimeiona mkuu,sema nikitegemea kwa upande wa south nako waonyeshe zaidi upande wa barabara na mji sio malls tu...
Sasa hio video ya Morocco ndio imekushtua?GDP even Nigeria Got Huge, infact Lagos GDP is bigger than the Entire Kenyas, but Nairobi can look developed than Lagos, sio?
Morocco is a first world Nation, sio huo utopolo wa wenu
See the Video
Sent using Jamii Forums mobile app
When will nairobi get close to that?Sasa hio video ya Morocco ndio imekushtua?
Nairobi is close to that. Najua hupendi lakini hio ndio ukweli. Morocco na Kenya hazijaachana mbali kiuchumi.
Yote kwa yote Tz ndo bingwa wa Kiswahili duniani!Soma historia ndugu, kabla mzungu hajaja na kuibuni Tanzania, Mwarabu kwa ushirikiano na wabantu alikua ameshabuni Kiswahili, hivyo hamna jinsi Tanzania iliyobuniwa baadaye sana ije ihodhi hati miliki ya Kiswahili.
Wote hata Nyerere walikikuta.
Mngekua mabingwa hatungekua tunawawahi kwenye fursa zote za kufundisha Kiswahili kote duniani. Tunawazidi kwenye uandishi na ufasaha ila nyie mnatuzidi kwenye kukitumia mtaani, lugha ya akina buku jero na maneno mengine ambayo mumebuni huko.Yote kwa yote Tz ndo bingwa wa Kiswahili duniani!
Kenya ni mabingwa wa kiswanglish!
Hehe eti fursa! Wakati ya South Africa,Ethiopia, China etc tumezikamata sisi! Nyie mmekula dili la wapi?Mngekua mabingwa hatungekua tunawawahi kwenye fursa zote za kufundisha Kiswahili kote duniani. Tunawazidi kwenye uandishi na ufasaha ila nyie mnatuzidi kwenye kukitumia mtaani, lugha ya akina buku jero na maneno mengine ambayo mumebuni huko.
Africa hakuna first world country, nyie vipicha vya modern infrastructure makes u think eti first world, do u really know Morocco? Afadhali ungesema Algeria[emoji23][emoji23], ama kwa sababu ya "bullet" train? yenye raiya wengi wa Morocco can't afford[emoji23][emoji23], get proper info about Morocco, hali halisia ya raiya wake. Your reasoning inachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Morogoro is a First world Country, Kenya is a Third world country, Comparing Kenya with Morocco is ni Wenzawazinmu,
Tazama hiyo Video na uone aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Morocco built that train track specifically for tourism anybody who thinks Morocco is a first world is clearly a category 5 moron. Do not waste your time with such individuals who reason like sewer rats. The moroccan economy is highly dependent on resources and tourism all of which are taking a huge dent from the pandemic. Their economy is not diversified enough.Africa hakuna first world country, nyie vipicha vya modern infrastructure makes u think eti first world, do u really know Morocco? Afadhali ungesema Algeria[emoji23][emoji23], ama kwa sababu ya "bullet" train? yenye raiya wengi wa Morocco can't afford[emoji23][emoji23], get proper info about Morocco, hali halisia ya raiya wake. Your reasoning inachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabunge wao wakitumia kiswahili wakikosea wanaomba msamaha kwa watanzania hahahaha Kama kiswahili lugha ya wakenya kwanini wasiwaombe radhi wananchi wao?Maneno yote ya nini,Tz ndo baba wa Kiswahili duniani..,Kama English ilivyo kwa U.S and U.K.
Yaani jamaa kaleta topic nzuri kwa roho safi kabisa lakini comment ya kwanza ni wewe mnafik alafu unatuita sisi ndo wenye roho mbaya, Kama ungekua na roho nzuri, topic kama hii ungechangia vizuri manake huyo Yosef Festo katuunganisha sisi sote kama East Africa VS West Africa..A better place to be with kenya, ama nchi gani? Nyinyi mlivyo na wivu, roho mbaya, mnafunga mipaka na kufubaza biashara, alafu unasema is a good place to invest. EA tungekuwa mbali zaidi ya hapo isipokuwa nyinyi ndo hurdle!