IST ni mtakuja...utakuja tuBadala ya kutumia IST ni bora nitumie Bmw
hahahaπ€£ lazima unasukuma IST mkuu, ila juzi kati nilipewa lift kwenye ki IST ni kitamu aiseIST ni mtakuja...utakuja tu
TRA wasikutishe, tumerudi enzi zile ππTuwekee na ka screenshot ka TRA mzee [emoji1][emoji1][emoji1]
ππ Zile enzi hazikuwahi kuisha mzee,sa hivi Ni vile tu mshale unaenda mpk kwny redline mzee.TRA wasikutishe, tumerudi enzi zile ππ
Sasa hivi chukua chako mapema mkuu, hatujui ajae mbele yetu.. sasa hivi inabidi tufanye mafekeche kisawa sawa.. ndio kipindi cha kuhonga Majestaππ Zile enzi hazikuwahi kuisha mzee,sa hivi Ni vile tu mshale unaenda mpk kwny redline mzee.
πππ tunawasubiri kwny quotation,watakua hawajui mzeee.Sasa hivi chukua chako mapema mkuu, hatujui ajae mbele yetu.. sasa hivi inabidi tufanye mafekeche kisawa sawa.. ndio kipindi cha kuhonga Majesta
eeh!! ndio mahala pa kubutulia.. kwenye kila quotation kuna gari ya mrembo πππππππ tunawasubiri kwny quotation,watakua hawajui mzeee.
ππππ Muda ndio huu.eeh!! ndio mahala pa kubutulia.. kwenye kila quotation kuna gari ya mrembo ππππ
Haiongezeki sana hapo. Mule mule tu.Bei zipoje?
Sio V6 ni inline-6Ook sawa... tatizo la v6 ni kwenye ulaji wa mafuta yana kula sana mafuta
πππ huwezi Kua serious Mkuuhahahaπ€£ lazima unasukuma IST mkuu, ila juzi kati nilipewa lift kwenye ki IST ni kitamu aise
Ook sawa... tatizo la v6 ni kwenye ulaji wa mafuta yana kula sana mafuta
Boss kilikuwa kimewashwa AC alafu kumbe mule ndani pia kuna nafasi kubwa tu unakaa kama upo kwenye subaru,zamani nilikuwa naona IST kama kadogo sanaa kabla sijapandaπππ huwezi Kua serious Mkuu
Poa MkuuBoss kilikuwa kimewashwa AC alafu kumbe mule ndani pia kuna nafasi kubwa tu unakaa kama upo kwenye subaru,zamani nilikuwa naona IST kama kadogo sanaa kabla sijapanda
Kumbe hizi 325i ni six cylinders nilikuwa sijui aisee huwa naziona Sana mitaa ya kariakoo kuna wabishi wanasukuma hizi ndinga....Mtoa mada, hiyo kwenye picha E90 BMW 2005 - 2013 kwa ushahuri usichukue 320i (4 cylinders engine N46) chukua 323i kwenda juu kama vile 323i 325i 330i etc ambazo ni 6 cylinders.
Mengine utayagoogle tu.
Matatizo gani mkuu?Zinaongoza kwa matatizo hizo..sijui kama utaziweza