3 Series 320I M SPORTS gari ya ndoto yangu

3 Series 320I M SPORTS gari ya ndoto yangu

Mtoa mada, hiyo kwenye picha E90 BMW 2005 - 2013 kwa ushahuri usichukue 320i (4 cylinders engine N46) chukua 323i kwenda juu kama vile 323i 325i 330i etc ambazo ni 6 cylinders.

Mengine utayagoogle tu.
 
Mtoa mada, hiyo kwenye picha E90 BMW 2005 - 2013 kwa ushahuri usichukue 320i (4 cylinders engine N46) chukua 323i kwenda juu kama vile 323i 325i 330i etc ambazo ni 6 cylinders.

Mengine utayagoogle tu.
Bei zipoje?
 
Ook sawa... tatizo la v6 ni kwenye ulaji wa mafuta yana kula sana mafuta
Sio V6 ni inline-6

E90 hainaga V6 ila ina V8 ambazo ni more powerful M3 Performance.

Mkuu, unanunua BMW unaanza waza mambo ya wese? cc2500 mbona unaishi nazo kwa 8km/L mjini.

Hafu kumbuka M Sports haina u-luxury wa Crown na ipo chini sana kuliko ambazo sio M Sports. Zina kama ground clearance ya sentimeta 14 hivi (Nusu ya rula ya mwanao ile), ukiwa umeweka rims saizi 17 inch.
 
Mtoa mada, hiyo kwenye picha E90 BMW 2005 - 2013 kwa ushahuri usichukue 320i (4 cylinders engine N46) chukua 323i kwenda juu kama vile 323i 325i 330i etc ambazo ni 6 cylinders.

Mengine utayagoogle tu.
Kumbe hizi 325i ni six cylinders nilikuwa sijui aisee huwa naziona Sana mitaa ya kariakoo kuna wabishi wanasukuma hizi ndinga....
Mwanangu anayo 320i huwa anakalisha Sana akina crown akiwa anaenda Dodoma
 
Back
Top Bottom