3 years Anniversary in JF

Hongera mno mimi nampenda mondray wa entertainment mwenye maakili makubwa

Ebu jitahidi kuwa busy jf utaiona ya kawaida mnoo utaingia ukijisikia kama kweli inakuchukulia mda wako
 
Shunie,
Yaani ungejua niko bize sema ubize wangu nakua nimekaa..tena kwenye internet access ndio maana nakua nachungulia humu mara nyingi...
So mond na Vinci nani mwenye maakili makubwa..?
 
Yaani ungejua niko bize sema ubize wangu nakua nimekaa..tena kwenye internet access ndio maana nakua nachungulia humu mara nyingi...
So mond na Vinci nani mwenye maakili makubwa..?
Vinc ndio mwenye maakili makubwa

Sema mimi nimeshazoea kukuita mondray yaani kukuita hayo majina yako mengine siwezi kabisa
 
Vinc ndio mwenye maakili makubwa

Sema mimi nimeshazoea kukuita mondray yaani kukuita hayo majina yako mengine siwezi kabisa
Hahahaaa shunie bana mm hata silipend ilo jina si unaona watu wanavyo lichukia
 
Hapo itanibidi nipakue subtitles maanna najua lugha 3 tu.. za mataifa ya nje. Kirusi na ki hebrew nampango siku moja nijifunze
Site gani nzuri unaitumia kupakua subtitles

Maaana Mimi movie bila subtitles hainogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…