Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Nimependa hapo pa kujenga ujamaa/urafiki. Tunaficha identity sana utadhani tunauza ngada bwana...Usijali brod darling, nilimpa namba ya bibi akaituma huko zawadi yangu. Hata akisearch jina atakuta Atupakisye Mwandenene lol
On a serious note unaweza ukapokea zawadi bila kureveal chochote kuhusu identity yako, na hata ukijisikia kureveal mbona fresh tu, unajenga tu ujamaa
Si ndo hapo sasa. Ndaga fijo brod darlingNimependa hapo pa kujenga ujamaa/urafiki. Tunaficha identity sana utadhani tunauza ngada bwana...
Hongera sis darling!!!
Safi sana kiongozi, sasa tunaangalia manure wakila kichapo.Tunajenga ujamaa chief...
Nautaka sana tu, tatizo miamala inanizidi uwezo!Hahaha hutaki ujamaa na mimi?
No sweat, hawa man U wanaakili kweli?Ha ha ha madai yako unasoma between the lines...
Nautaka sana tu, tatizo miamala inanizidi uwezo!
- KANA -
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji15][emoji15][emoji15][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Na tumuombee RRONDO asisahau kuleta shindano lingine karibuni.