30,000 Likes

30,000 Likes

Usijali brod darling, nilimpa namba ya bibi akaituma huko zawadi yangu. Hata akisearch jina atakuta Atupakisye Mwandenene lol

On a serious note unaweza ukapokea zawadi bila kureveal chochote kuhusu identity yako, na hata ukijisikia kureveal mbona fresh tu, unajenga tu ujamaa
Nimependa hapo pa kujenga ujamaa/urafiki. Tunaficha identity sana utadhani tunauza ngada bwana...
Hongera sis darling!!!
 
Back
Top Bottom