30,000 Likes

30,000 Likes

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Tangu nimejiunga JF 2010 mpaka leo nimepata likes 29,927(Hizi hazihusiani na lile jukwaa ambalo hata ukijamba unapata LIKE). Nawashuru wote walio-LIKE posts zangu zinazofika 30,806. Kwa kuwekea mkazo shukrani zangu naahidi Vocha ya 10,000/- kwa mtu atakaekuwa wa 30,000 ku-Like posts zangu. Usijisifu una mbio wasifu na wanaokufukuza!

Update: Mshindi Heaven Sent kapata zawadi yake, ila baada ya Nyani Ngabu kusema ataweka $100 nimeona ni vizuri niongeze zawadi kwa mshindi ambayo ni perfume hio hapo chini. Unastahili zawadi hii HS sio kwa ku-Like tu posts zangu bali kwa michango yako humu JF
IMG_20180828_074254.jpg
 
Tangu nimejiunga JF 2010 mpaka leo nimepata likes 29,927(Hizi hazihusiani na lile jukwaa ambalo hata ukijamba unapata LIKE). Nawashuru wote walio-LIKE posts zangu zinazofika 30,806. Kwa kuwekea mkazo shukrani zangu naahidi Vocha ya 10,000/- kwa mtu atakaekuwa wa 30,000 ku-Like posts zangu. Usijisifu una mbio wasifu na wanaokufukuza!
2nd runner nitatoa 5000 kunogesha ushindi

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom