30,000 Likes

30,000 Likes

Easy Monday!

Kwa muujibu wa punguzo la bei, shilingi elfu kumi unapata bia kumi.

Ukiamua kupika ubwabwa familia inasaza.

Kwa wadada angalau, visaluni vyetu vya uswahilini unaweza kuosha nywele, ukatengeneza kucha na marekebisho madogo madogo.

The week starts with a blast hahaa!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu tukuyu nasuka rasta amazing. Hopefully ka week kangu kataendelea na offer tu
 
Easy Monday!

Kwa muujibu wa punguzo la bei, shilingi elfu kumi unapata bia kumi.

Ukiamua kupika ubwabwa familia inasaza.

Kwa wadada angalau, visaluni vyetu vya uswahilini unaweza kuosha nywele, ukatengeneza kucha na marekebisho madogo madogo.

The week starts with a blast hahaa!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una mahesabu....
 
Shindano limeisha?!

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom