Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ooh yeah, ntaomba na smartphone nipige picha ya nywele nikutumieHio style ya kwenye avatar? At least ukisifiwa barabarani utanikumbuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh yeah, ntaomba na smartphone nipige picha ya nywele nikutumieHio style ya kwenye avatar? At least ukisifiwa barabarani utanikumbuka.
She just went to your previous threads, then akalike posts zako zote za huko.How?
Hilo shindano sio la kukosa 230K usawa huuHuu uzi umenipa wazo.
Nami ntaanzisha shindano mahsusi kwa wadada tu na mshindi atajipatia $100.00 za Ngabu.
Ngoja nifikirie ni aina gani ya shindano halafu nilianzishe...
Unishtue ukianzisha nisije kosa dolari kama nilivyokosa zawadi ya RRONDOHuu uzi umenipa wazo.
Nami ntaanzisha shindano mahsusi kwa wadada tu na mshindi atajipatia $100.00 za Ngabu.
Ngoja nifikirie ni aina gani ya shindano halafu nilianzishe...
Apewe hawezi kuwa robot.... Anastahili amefanya juhudi kubwa... Nasubiria mshindi wa pili na tatu niwakabidhi zawadi zaoWakuu, mpaka sasa hivi nina Likes 30,032 na Likes 59 za mwisho zimetoka kwa Heaven Sent ni wazi yeye ndio mshindi. Ila inawezekana huyu ni robot au? Maanake amewezaje kutoa Like 59 kwenye muda mfupi?! Kabla ya kumpa zawadi yake naomba ridhaa yenu ridhaa yenu
Mshana Jr Sky Eclat Mrs Van Nokia83 Nyani Ngabu
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Nitatimiza ahadi
Jr[emoji769]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] count me inHuu uzi umenipa wazo.
Nami ntaanzisha shindano mahsusi kwa wadada tu na mshindi atajipatia $100.00 za Ngabu.
Ngoja nifikirie ni aina gani ya shindano halafu nilianzishe...
Nasubiria muongozoNgoja nimtafute anipe buku 5 yangu. Nilipitwa hapo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji122] mbona washindi wa 2 na 3 hawataki kuja kuchukua zawadi zao?Mkuu utaongezea $100