30,000 Likes

30,000 Likes

yan me ambaye nmekupa likes 3896 tangu nijiunge jf sitaambulia chochote..?
 
Wakuu, mpaka sasa hivi nina Likes 30,032 na Likes 59 za mwisho zimetoka kwa Heaven Sent ni wazi yeye ndio mshindi. Ila inawezekana huyu ni robot au? Maanake amewezaje kutoa Like 59 kwenye muda mfupi?! Kabla ya kumpa zawadi yake naomba ridhaa yenu ridhaa yenu
Mshana Jr Sky Eclat Mrs Van Nokia83 Nyani Ngabu
Apewe hawezi kuwa robot.... Anastahili amefanya juhudi kubwa... Nasubiria mshindi wa pili na tatu niwakabidhi zawadi zao

Jr[emoji769]
 
Huu uzi umenipa wazo.

Nami ntaanzisha shindano mahsusi kwa wadada tu na mshindi atajipatia $100.00 za Ngabu.

Ngoja nifikirie ni aina gani ya shindano halafu nilianzishe...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] count me in

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom