30% ya wadada wanaenda kwenye dinner date na wanaume, ili tu kupata msosi wa bure

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Uchunguzi huu uliofanyika Marekani ulisema hivo, kati ya wadada 850 waliofanyiwa research, baadhi ya hao wadada walikiri kuwa hawakuwapenda wanaume waliowaita mgahawani, ila walienda mgahawani, ili tu wapate msosi wa bure. Wanaita "foodie calls"

Hio ni marekani ambako wabongo tunasema wanawake wa Kule ni independent kiuchumi, jiulize bongo hali iko vipi..
 
Mpaka mtapoamua kua wa kweli n'a kuacha tabia yenu ya kutongozwa na kusikia njaa hapo hapo
Siku mtakayokuja kuacha kulalamika ndipo hapo mtakapokuta mwanamke kakupiga bao kwenye uchumi na kipato.endeleeni kulalamika tunazidi kuwaπŸ‘€πŸ‘€ tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…