30% ya wadada wanaenda kwenye dinner date na wanaume, ili tu kupata msosi wa bure

30% ya wadada wanaenda kwenye dinner date na wanaume, ili tu kupata msosi wa bure

Uchunguzi huu uliofanyika Marekani ulisema hivo, kati ya wadada 850 waliofanyiwa research, baadhi ya hao wadada walikiri kuwa hawakuwapenda wanaume waliowaita mgahawani, ila walienda mgahawani, ili tu wapate msosi wa bure. Wanaita "foodie calls"

Hio ni marekani ambako wabongo tunasema wanawake wa Kule ni independent kiuchumi, jiulize bongo hali iko vipi..
World Food Programme
 
Acheni kutusimanga na viumiza tumbo vyenu..mfyuuuu
 
Back
Top Bottom