31 Agosti, 2024 kufanyika Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, Mnyika, Shaibu na wengine Watashiriki

Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo

Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv

Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine

Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku

Mlale Unono 😀

My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
za ndaaaaaniiiiii nasikia katibu wa kijani anataka kulala mbeleee asitokeeee
 
Nchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student university

Mnyika lazima aimbe hakeluya
Hakuna TO wa hivyo nchi hii, humu ndani kuna wasomi kibao. Sijawah kusikia hiyo kitu japokuwa nchimbi kanipita madarasa matano
 
Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo

Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv

Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine

Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku

Mlale Unono 😀

My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
Kabisa tupo tayar kulipia matangazo
 
Back
Top Bottom