OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Exposure imekimbia mbioNchimbi yupo na exposure kubwa na anajua mambo ya International affairs na anajua Dira ya Taifa letu.
Mnyika atujibu kwanza tuhuma za Tundu Lissu kuhusu kula pesa za CHADEMA.
Kamati Kuu ni September 2..Nchimbi hawezi kuhudhuria mdahalo kwasababu yuko kwenye kikao cha kamati kuu ya Ccm.
za ndaaaaaniiiiii nasikia katibu wa kijani anataka kulala mbeleee asitokeeeeUtakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo
Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv
Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine
Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku
Mlale Unono π
My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
Kamati Kuu ni September 2
Samahani Lakini ππ
Lisu aliomba hilo kuwa hayo muulizeni MnyikaMnyika atujibu kwanza tuhuma za Tundu Lissu kuhusu kula pesa za CHADEMA.
Leo ni sekretarieti inayoongozwa na Komredi Mongela ππ₯..asante.
..nilifikiri Kamati Kuu ya Ccm inaketi leo.π€£ππΎ
Daaah! Nitaukosa mdahalo muda huo nipo zangu kitambaa cheupe tabataMuda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku
Mlale Unono π
My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
Kwani CAG alisemaje?Lisu aliomba hilo kuwa hayo muulizeni Mnyika
Kwenye huo mjadala ahojiwe hilo
Nchimbi si ni memkwa au?Nchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student university
Mnyika lazima aimbe hakeluya
Haijalishi... Kwani mzee nchimbi pia unamchukuliaje?!Mkumbuke mnyika ni TO (tanzania one)
MEMKWA ni Mnyika na Tumblr πNchimbi si ni memkwa au?
Hakuna TO wa hivyo nchi hii, humu ndani kuna wasomi kibao. Sijawah kusikia hiyo kitu japokuwa nchimbi kanipita madarasa matanoNchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student university
Mnyika lazima aimbe hakeluya
Kabisa tupo tayar kulipia matangazoUtakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo
Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv
Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine
Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku
Mlale Unono π
My take: Mdahalo ungeanza saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku
Mbona HAKUNA updates?Nitakuwa live kushuhudia mdahalo huu. Nataka kujua uwezo wa hawa watendaji kwenye kuibua,kujibu na kutetea hoja.
Degree za mchongo nani hajuiNchimbi Tanzania one msingi,O.level, A level na best student university
Mnyika lazima aimbe hakeluya
Muda ndio huu Bwashee mubashara Star tv πNitakuwa live kushuhudia mdahalo huu. Nataka kujua uwezo wa hawa watendaji kwenye kuibua,kujibu na kutetea hoja.