35 Most Elite Fighting Units From Around The World

35 Most Elite Fighting Units From Around The World

Nasikitika haya majeshi yote tukitumia lugha sahihi ni ya KUUA WAISLAM.Achilia na yaliyopo ktk nchi za kiislam kwa ajili ya kuua waislama wenzao
 
hao 3, 4, 5, 9,21 , na 18 ukikutana nao si unaweza hisi ni maroboti kumbe ni watu!!!
 
jwtz kwa kutoa doze kwa wakorofi kama m23 hakika ni hodari!
binafsi sio mtu wa kukubali kitu kwakuwa kila mtu anakubali: lakinihao M23 unaowasema nchi nyingi zz Afrika pengine unazodhani zinauweza zilichemka, na rekodi yetu pale tunapokwenda tunafanikisha. Tunabebwa na rekodi.Ambayo nchi za afrika zimechemka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom