36 wajitokeza kuuza figo Hospitali ya Taifa Muhimbili

Kikwete alijenga hadi university Teaching hospital mloganzila. Wakaja watu wa ajabu wakaishusha hazi hospitali ya mloganzila nakuwa ordinary hospital.
 
Kwanza viungo ambavyo viko pair tulipewa ziada sasa mfano mtu una pumbu mbili zote za nini kwani moja haiwezi zalisha mbegu ? Sana sana nikifikisha miaka 60 naastafu mbususu kama vile waajiriwa nanavyostaafu kazi nauza kende zote

Eti figo mbili ,mapafu mawili ,macho mawili serikali isikilize tu vilio vyetu jobless,na graduate wakubali utaratibu tufanye yetu tuuze tupate mitaji hapo maisha yanakuwa safi
 
Figo bila kuendana vinasaba ni bure tu,lazima ifeli mana ndio mana tunaona ndgu wa familia ndio wanatakiwa kutoa sio mtu baki
 
😀😀👏 Mungu ni fundi sana aiseee. Alitupa viungo viwili viwili ili kimoja kitumike na kingine kiwe spare (kama spare tyre vile). Kuuza kimoja ni sawa kabisa.
 
This Life no balance

Sheria inataka figo itolewe na ndugu tu, na sio mtu baki... wakimaanisha iwe Bureeeeeee

Wakati nchi za wenetu Figo ni ghali sana
 
Bei gani? Hawataki na viungo vingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…