38 years man, single and searching

38 years man, single and searching

Hao ndo wasomi wetu ambao badae serikali inawapa uongozi, mfano hii jamaa unapewa uwaziri wa ujenzi, baada ya miaka kadhaa anapewa urais wa kusukumizwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kiingereza siyo uongozi, wachina, warusi, wajapani hawaongei kiingereza lakini wapo vizuri
 
Kabisa mkuu,wanaume tunaharibiqna.Si Amini katika mitandao lakini wadada ninavyo wajua wakishaona Jinsi mshikaji alivuo kosolewa anapoteza mvuta sqna.
Hata hivyo hizi huwa ni tabia ya wanawake, wanaume huwa tunahakikisha mwenzetu anapata mwanamke, hatubaniani. Ujanani Tuliazimana mpaka locations za kumaliza game.
 
I'm a man with 38yrs ,an Engineer by professional with Bachelor degree.A Christian ,174cm tall,67kg ,black and white.

Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania,from any domination ,with any education level.
Samahani kwanza nadhani ulikusudia jina lako kuwa 'Endocrinologist' labda?

La pili, black and white umekusudia nini? Nikisoma hapo naona kama wewe umejinasibu black and white ina maana umechanganya mzungu na mwafrika?- enzi za George Jefferson (wa comedy the Jeffersons) angekwita zebra

Bwana Engineer ndiyo wale wenye GPA ya 35?
 
I'm certain you know what he meant.
Nisaidie kuelewa "Black and White" nijitose[emoji6][emoji854][emoji846]
Haha nilishamuelewa Mr. Engineer. Yaani hata ye aelewi rangi yake haha.
I missed you so much....
 
Sorry it is typing error ,corrected
Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania,from any domination ,with any education level.
Yet you are still wrong.

It is spelt as TRIBE as for the word that you were looking for in place of 'domination' should have been DENOMINATION.

Nahisi kiswahili kingekuwa muafaka kwa hadhira husika kuliko kutumia lugha ambayo si wengi wanaielewa vizuri ikiwemo wewe mwenyewe.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] au basi.....!
 
Hao ndo wasomi wetu ambao badae serikali inawapa uongozi, mfano hii jamaa unapewa uwaziri wa ujenzi, baada ya miaka kadhaa anapewa urais wa kusukumizwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani msomi lazima ajue kuandika/kuongea kingereza kwa ufasaha?

Wabongo tunaamini msomi ni yule anayejua kiingereza
 
I'm a man with 38yrs ,an Engineer by professional with Bachelor degree.A Christian ,174cm tall,67kg ,black and white.

Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania,from any domination ,with any education level.
Noted....... but........?????
 
Back
Top Bottom