Huyu wa mitandaoni kivuruge tu, wewe unadhani walomfata pm wangapi? Hata hivo sinaga ubavu wa kumfata mtu pm .nikimfata nimwambie nini sasa? Kwamba?ππ hawa tutakutana nao mitaani sio huku kusikojulikanaBut nini wewe changamkia fursa hiyo. Engineer ndio mwenyewe
Habari za siku rafikiHuyu wa mitandaoni kivuruge tu, wewe unadhani walomfata pm wangapi? Hata hivo sinaga ubavu wa kumfata mtu pm .nikimfata nimwambie nini sasa? Kwamba?[emoji3][emoji3] hawa tutakutana nao mitaani sio huku kusikojulikana
Aisee ..engineer yaani wee nawe unataka kuokota tuu mrembo hamna vigezo vyovyite vileπ€£π€£π€£π€£π€£I'm a man with 38yrs, an Engineer by professional with Bachelor degree. A Christian, 174cm tall, 67kg, black and white.
Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania, from any domination, with any education level.
Changamkia fursa wewe...hutaki kuitwa mke wa engineer? π€£π€£π€£π€£Tatizo umri
Watz ndipo tunapojidanganya hapaπ€£π€£π€£π€£π€£kiingereza siyo uongozi, wachina, warusi, wajapani hawaongei kiingereza lakini wapo vizuri
Umriii hauniruhusu but I wishChangamkia fursa wewe...hutaki kuitwa mke wa engineer? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi njoo kwangu unachotaka nitakupaaaπUmriii hauniruhusu but I wish
TribeHii kingereza iliyotumika kwenye paragraph ya pili ndo sijaielewa kabisa TROUBLE, DOMINATION......anyway ni Engineer. Wadada jaribu bahati zenu chap
Hello samahani tunaweza kuwasilianaI'm a man with 38yrs, an Engineer by professional with Bachelor degree. A Christian, 174cm tall, 67kg, black and white.
Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania, from any domination, with any education level.
Hello samahani tunaweza kuwasiliana
HelloI'm a man with 38yrs, an Engineer by professional with Bachelor degree. A Christian, 174cm tall, 67kg, black and white.
Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania, from any domination, with any education level.
Samahani, Miaka 38 una 67kg?? Mbona ndogo sana kwa huu umri wako! Anyway sijui sana!I'm a man with 38yrs, an Engineer by professional with Bachelor degree. A Christian, 174cm tall, 67kg, black and white.
Looking for a lady with 30-39yrs from any trible in Tanzania, from any domination, with any education level.
Mwembamba huyu akioa atanenepa.Samahani, Miaka 38 una 67kg?? Mbona ndogo sana kwa huu umri wako! Anyway sijui sana!
Nawe wa 97 utafika tu muda πnikifikiria watu wa mwaka 1993 ndio wana 30 nakosa hata nguvu [emoji23].. nna dada angu wa93 angekufaa sema ni single mother..