luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Huyu wa mitandaoni kivuruge tu, wewe unadhani walomfata pm wangapi? Hata hivo sinaga ubavu wa kumfata mtu pm .nikimfata nimwambie nini sasa? Kwamba?😀😀 hawa tutakutana nao mitaani sio huku kusikojulikanaBut nini wewe changamkia fursa hiyo. Engineer ndio mwenyewe