Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kweli au kashaoaMr. Engineer haujatupa mrejesho Kama ulifanikiwa ili wengine tufaute mkondo😊
Kakaa kimya muda mrefu sana...Halafu kweli au kashaoa
Kweli bwana nasi tujue kama tunaendelea kutuma maombi au dirisha limefungwaMr. Engineer haujatupa mrejesho Kama ulifanikiwa ili wengine tufaute mkondo[emoji4]
Wrong again[emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23]Trouble=Trible
Sorry sir,consider
Nasisi masingle men tujue nani na nani yuko free turushe kete zetu....Kweli bwana nasi tujue kama tunaendelea kutuma maombi au dirisha limefungwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii kingereza iliyotumika kwenye paragraph ya pili ndo sijaielewa kabisa TROUBLE, DOMINATION......anyway ni Engineer. Wadada jaribu bahati zenu chap
Trible eheeeeee TRIBETrouble=Trible
Sorry sir,consider
Shouger upo, hebu nicheck inboxKweli bwana nasi tujue kama tunaendelea kutuma maombi au dirisha limefungwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Samahani kwanza nadhani ulikusudia jina lako kuwa 'Endocrinologist' labda?
La pili, black and white umekusudia nini? Nikisoma hapo naona kama wewe umejinasibu black and white ina maana umechanganya mzungu na mwafrika?- enzi za George Jefferson (wa comedy the Jeffersons) angekwita zebra
Bwana Engineer ndiyo wale wenye GPA ya 35?
Shida ni kiingereza tu
Hatutaelewana [emoji28]
Mkuu sio hayo tu, hili bwege limekosea kuanzia mwanzo.Hii kingereza iliyotumika kwenye paragraph ya pili ndo sijaielewa kabisa TROUBLE, DOMINATION......anyway ni Engineer. Wadada jaribu bahati zenu chap
Ha ha hahaaaaMkuu sio hayo tu, hili bwege limekosea kuanzia mwanzo.
Engineer by profession linaandika professional.
Halafu jitu la miaka hiyo halina mke, si atakua amemaliza madanguro yoye Dar mpaka kule Tandika mkundubuku.
alitaka kuandika tribe na denomination,tumsamehe tuHii kingereza iliyotumika kwenye paragraph ya pili ndo sijaielewa kabisa TROUBLE, DOMINATION......anyway ni Engineer. Wadada jaribu bahati zenu chap