3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa

Kuna viewers wengi Bongo5.com,Millard Ayo na U turn,hao wengine wanafurahisha baraza tu,mhudumu niongeze kahawa tafwadhal.........
 
Hahahahahaaa watu wachokozi sana,khaaaa!
 
vp mzee ukaniblock kuleee nifungulie mzee nimekumis atii
 
Acha upambe wewe radio station ya Davis Mosha unasema ya kwako huoni hata aibu,wewe mpambe tu Davis ana own 99.9percent na wewe o0.01percent huoni aibu na bado unapiga makelel hapa,bilionaiire anaendesha ambulance mpambe wa watoto wadoho kina khalfan kikwete haha hebu kakojoe ukalale we mzee yani realy uko so proud kujisifu after 30yrs in USA umerudi na 500 dollars haha u r truly a looser.
 
The real definition of "Mdananda" ni huyu Le Temboz,Shetta kasingiziwa
 
Yani umespend 30yrs kusoma tu haha kweli wewe akili kubwa,yani umegraduate na 50 yrs na bado unajisifu no wonder unakimbilia kufanya kazi za wajukuu zako kina lulu na millard Ayo haha
 
The real definition of "Mdananda" ni huyu Le Temboz,Shetta kasingiziwa
Hahaha he's truly a mdananda,can u imagine a person of over 55yrs of age saying my dad this my dady that while hes no clue of the life of his own kids haha this man is truly a buffoon.
 

- I know kwenye Radio na TV Jumla tumewekeza Billioni 3 kati ya hizo o.1% ni zangu tumemkaribisha Mukula Bilionea wa Uganda na yeye ataongeza Billioni 4 comboned 0.1% ni zangu na from there moving forward kwenye all the profits za kampuni always nitakuwa na 0.1% na mimi ndiye msimamizi wa all operation za Radio na TV, now naomba nikuulize in 10 years from now unaamini mimi na wewe usiyekuwa na hata 0% kwenye anything Duniani zaidi ya Tumbo lako na Ubongo wako uliodumaa uaamini kweli tutakuwa sawa? Mpambe unajua maana yake? ni kama wewe kazi mwanaume mzima kufuatilia maisha ya wanaume wengine ndio maana ya upambe mtuwangu,

- Leo ninaondoka kwenda Lagos kuwakilisha DSTV, ninarudi Jumatatu Asubuhi usiku naondoka tena kwenda Dubai kuwakilisha Emirates Airline, na kote huku ninalipiwa kila kitu na posho juu kisa na mkasa Social Media now naomba nikuulize kwani si kuna Watu wengi sana kwenye Social Media why me kutoka WaTanzania Millioni 50? Mimi na wewe nani anayetakiwa kwenda kulala? hahahahahaha

- Yes after 30 years nimerudi bongo na Degree 3, ninamenunua shamba eka tano kinyerezi nikajenga na nyumba kubwa, nikarudi na USD $1,000 ambazo $500 kati yake nilinunua laptop iliyoanzisha Kampuni ya Blogu ya Wananchi Media Company LTD, na ndio imenipatia nyumba downtown na ofisi downtown wewe ambaye hukuenda Majuu miaka 30 una nini mkuu? hahahahah chezeiya Akili kubwa nipe miaka 5 kutoka sasa utaona kama sikufungua Radio yangu mwenyewe tizama Blog miaka 3 tu iliponifikisha, guy watishe wajinga honestlly wewe huenda ni mjinga wa kwanza humu JF kuliko wote ndio maana huwezi kutumia jina lako kama mimi, hahahahahahah

le Mutuz
 
Hahaha he's truly a mdananda,can u imagine a person of over 55yrs of age saying my dad this my dady that while hes no clue of the life of his own kids haha this man is truly a buffoon.

- Miaka 55 sijafika ila I was proud kumualika Baba yangu mzazi kuja kushuhudia na kuyafurahia mafanikio yangu ya miaka 3 tu bongo kuna mburulazz kama wewe umezaliwa bongo huna hata cha kuonyesha zaidi ya kufuatilia wanaume wengine na maisha yao, baba yako amekula hasara sana maana imagine umezaa mtoto ambaye kazi yake ni kutukana watu kwenye mitandao na majina ya bandia, ningekuwa mimi baba yako ningejiua hahahahahahah

le Mutuz
 
Yani umespend 30yrs kusoma tu haha kweli wewe akili kubwa,yani umegraduate na 50 yrs na bado unajisifu no wonder unakimbilia kufanya kazi za wajukuu zako kina lulu na millard Ayo haha

- Nilipoondoka US niliacha hata Rais Obama ana Blog na Website yake, ni afadhali nifanye kazi za Millard ayo na Lulu kuliko mwanaume mzima kushinda kwenye mitandao na majina ya bandia kutukana watu hivi huwaonei huruma wazazi wako kwamba wamezaa koroma la nazi hahahahahahahahha

le Mutuz
 
Kuna viewers wengi Bongo5.com,Millard Ayo na U turn,hao wengine wanafurahisha baraza tu,mhudumu niongeze kahawa tafwadhal.........

- Kama unahitaji ajira kwenye blog, au radio na TV niambie nikusaidie najua you are crying for help hahahahahhah U know

le Mutuz
 
Mkuu una miaka mingapi kiuhalisia maana hii ya kuuzushia kila siku mara una miaka 60 mara 55 ni bora ukaweka wazi kuanzia leo maana wewe ndio celebrity pekee bongo mwenye guts za kuweka facts jf bila kuogopa mtu, mwenyewe huwa unaita kumkomangila nyani gilani
 

- Wanaume tupo mjini tunapigania kutengeneza pesa sio kutafuta umbeya wa umri wa wanaume wengine, hiyo waachieni mabebezzz bana mwanaume pigana utoke sio kuja JF kufuatilia maisha ya wanaume wengine na kutukana usiowajua kwa majina ya bandia mwanaume hasa hawi hivyo bana, yaani mwanaume mzima unalilia umri wa wanaume wengine huoni kuna kasoro kubwa sana hapo?

le Mutuz
 
jamani waandishi kwa kukuza mambo hamjambo

lemutuz yuko kawaida sana jamani msikuze hayo mambo ya anniversary ni mambo ya kawaida
ila blog yake inatisha hasa siku ile ya sherehe ahahahaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…