angedizzle
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 590
- 504
Kuna viewers wengi Bongo5.com,Millard Ayo na U turn,hao wengine wanafurahisha baraza tu,mhudumu niongeze kahawa tafwadhal.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa watu wachokozi sana,khaaaa!Je kuna mwenye swali, naona watajibiwa wote humu..
Langu mmoja tu,
Hao 500,000 viewers una wa calculate vp boss, maana your followers hardly wanafika half ya hio 500k insta, facebook na huko kwengine ndio kabisa.
Sasa kama wewe unafikiwa na 500,000. Millard ayo nae c itabidi ajiite " LORD OF ALL SOCIAL MEDIA"
Nawasilisha, naomba usiniblock tu na humu( oh wait...... YOU CAN'T 😀)
Teh teh..Naona Jamaa amekuja kukutembelea..Ongea nae akupe shavu basi kwenye Radio yake
vp mzee ukaniblock kuleee nifungulie mzee nimekumis atii
Le Mutuz Nation with Miraj Kikwete live!!
- Guy thank you for this, ni kwamba Sherehe zilifanyika salama kama zilivyopangwa na hizo picha ni baadhi ya Wageni Waalikwa wakiwa ukumbini Hyatt Kilimanjaro Hotel, ilikuwa niondoke Tarehe 28/2/2016 kwenda Dubai kwa Mualiko wa Emirates Airlines nikawaomba wasogeze muda kidogo nimalize sherehe zangu kwanza,
1. Kesho usiku nitaondoka Hapa kwenda Lagos/Nigeria kwa mualiko wa African Magic/Multichoice ambako ninatakiwa kwenda kuripoti back sherehe za "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" wamekuwa impressed na my Social Media works so wamenipa kazi yakwenda kuzitangaza Sherehe hizi kwenye my Social Media tools ambazo ni Facebook, Instagram, Twitter, Blog na sasa nimeingia pia mpaka youtube, kwa siku nina uwezo wa kuwafikia viewers 500,0000
2. Lagos nitarudi tarehe 7, na tarehe 8 nitaondoka kuelekea Dubai kwa mualiko wa Emirates Airlines ambao nao pia wamekuwa impressed na my Social Media works so wameniita kufanya kazi ya kuripoti Sherehe zao zitakazofanyika kwa siku 4 mfululizo na pia watanipa mkataba mpya wa kuwatangaza kibiashara.
- Otheriwise, nitakaporudi tayari our new Radio Station in Morogoro itakuwatayari kuanza kazi na pia tutakuwa kwenye makamilisho ya TV Station yetu kuanza kazi at Sinza, so you seee I ma busy na kazi, nawashkuru sana kwa kunifuatilia sana habari zangu inagwa huwa mnaziandika kwa kukosea lakini I love it free media covarage!!
le Mutuz Nation
Acha upambe wewe radio station ya Davis Mosha unasema ya kwako huoni hata aibu,wewe mpambe tu Davis ana own 99.9percent na wewe o0.01percent huoni aibu na bado unapiga makelel hapa,bilionaiire anaendesha ambulance mpambe wa watoto wadoho kina khalfan kikwete haha hebu kakojoe ukalale we mzee yani realy uko so proud kujisifu after 30yrs in USA umerudi na 500 dollars haha u r truly a looser.

The real definition of "Mdananda" ni huyu Le Temboz,Shetta kasingiziwaAcha upambe wewe radio station ya Davis Mosha unasema ya kwako huoni hata aibu,wewe mpambe tu Davis ana own 99.9percent na wewe o0.01percent huoni aibu na bado unapiga makelel hapa,bilionaiire anaendesha ambulance mpambe wa watoto wadoho kina khalfan kikwete haha hebu kakojoe ukalale we mzee yani realy uko so proud kujisifu after 30yrs in USA umerudi na 500 dollars haha u r truly a looser.
Yani umespend 30yrs kusoma tu haha kweli wewe akili kubwa,yani umegraduate na 50 yrs na bado unajisifu no wonder unakimbilia kufanya kazi za wajukuu zako kina lulu na millard Ayo haha- Nilipokuwa mbelezz pesa yote nilikuwa nalipia shule mpaka kupata Degree 3, bongo nilirudi na USD $ 1,000 tu ambazo $500 nilinunua Laptop GMO ambayo niilitumia kufungua Blogu ya Wananchi ambayo sasa Miaka 3 later ni Kampuni iliyosajiliwa na inatoa jaira kwa Vijana 4 waliomaliza Vyuo Vikuu hapa bongo na ina ofisi downtown posta mpya na sasa ninaelekea kwenye Radio na TV, ndio maana ya AKILI KUBWAZZ Mbelezz hhuhitaji kurudi na PESA hapana unarudi na AKILI KUBWAZZ kama nilizorudi nazo, hahahahahaha jamani thanks ila mtanisikia reporting from Lagos U know!!
le Mutuz
Hahaha he's truly a mdananda,can u imagine a person of over 55yrs of age saying my dad this my dady that while hes no clue of the life of his own kids haha this man is truly a buffoon.The real definition of "Mdananda" ni huyu Le Temboz,Shetta kasingiziwa
Acha upambe wewe radio station ya Davis Mosha unasema ya kwako huoni hata aibu,wewe mpambe tu Davis ana own 99.9percent na wewe o0.01percent huoni aibu na bado unapiga makelel hapa,bilionaiire anaendesha ambulance mpambe wa watoto wadoho kina khalfan kikwete haha hebu kakojoe ukalale we mzee yani realy uko so proud kujisifu after 30yrs in USA umerudi na 500 dollars haha u r truly a looser.
Hahaha he's truly a mdananda,can u imagine a person of over 55yrs of age saying my dad this my dady that while hes no clue of the life of his own kids haha this man is truly a buffoon.
Yani umespend 30yrs kusoma tu haha kweli wewe akili kubwa,yani umegraduate na 50 yrs na bado unajisifu no wonder unakimbilia kufanya kazi za wajukuu zako kina lulu na millard Ayo haha
Kuna viewers wengi Bongo5.com,Millard Ayo na U turn,hao wengine wanafurahisha baraza tu,mhudumu niongeze kahawa tafwadhal.........
Mkuu una miaka mingapi kiuhalisia maana hii ya kuuzushia kila siku mara una miaka 60 mara 55 ni bora ukaweka wazi kuanzia leo maana wewe ndio celebrity pekee bongo mwenye guts za kuweka facts jf bila kuogopa mtu, mwenyewe huwa unaita kumkomangila nyani gilani- Miaka 55 sijafika ila I was proud kumualika Baba yangu mzazi kuja kushuhudia na kuyafurahia mafanikio yangu ya miaka 3 tu bongo kuna mburulazz kama wewe umezaliwa bongo huna hata cha kuonyesha zaidi ya kufuatilia wanaume wengine na maisha yao, baba yako amekula hasara sana maana imagine umezaa mtoto ambaye kazi yake ni kutukana watu kwenye mitandao na majina ya bandia, ningekuwa mimi baba yako ningejiua hahahahahahah
le Mutuz
Mkuu una miaka mingapi kiuhalisia maana hii ya kuuzushia kila siku mara una miaka 60 mara 55 ni bora ukaweka wazi kuanzia leo maana wewe ndio celebrity pekee bongo mwenye guts za kuweka facts jf bila kuogopa mtu, mwenyewe huwa unaita kumkomangila nyani gilani