4 pcb, cbg & pcm takerz graduatec 2012 only

4 pcb, cbg & pcm takerz graduatec 2012 only

hyo n kwel mkuu n 4.5 lakn ukiangalia post angu ckusema kwamba cutoff n 2.5 nlsema kwamba hata wenye 2.5 wanaweza pata, na naomba kukufahamsha mkuu kua kuwa not-eligible sio huchaguliw labda sema kwa vyuo vya government c rahc kuchaguliwa lakn kuna baadh ya facuty ambazo hazna waombaj weng wanapata, hako kachuo n privet wanatafuta hela cio cutoff ilmrad 2 icpungue principo pac mbil mkuu nawaslsha

Nimekupata mkuu!!
 
Ongeeni yote mnayoyaweza lakini heshima ya nani alifaulu sana au hakufaulu sana itaonekana pale ambapo utakuwa unahudumia jamii, na kufaulu sana au kufeli sana haimaanishi unauelewa mkubwa au mdogo kikubwa ni kuifahamu vizuri kazi unayoenda kuifanya na uwezo wa kuifanya watu wakakukubali

good idea GT
 
Duh..kama wapo tayari kuchukua hata wenye 2.5,watu si watachukulia course ya medicine kama mzaha??:wacko:
 
Ipo haja serikali iweke chombo cha kusimamia vigezo vya udahili katika vyuo mbalimbali, vinginevyo tutaona mengi!!
 
hyo n kwel mkuu n 4.5 lakn ukiangalia post angu ckusema kwamba cutoff n 2.5 nlsema kwamba hata wenye 2.5 wanaweza pata, na naomba kukufahamsha mkuu kua kuwa not-eligible sio huchaguliw labda sema kwa vyuo vya government c rahc kuchaguliwa lakn kuna baadh ya facuty ambazo hazna waombaj weng wanapata, hako kachuo n privet wanatafuta hela cio cutoff ilmrad 2 icpungue principo pac mbil mkuu nawaslsha

Hapa pekundu ndipo panaponipa mashaka mkuu! Kwamba cut-off points sio muhimu tena?!
Hii inanikumbusha serikali ilipoamua kufuta mitihani ya darasa la 4 na form 2, kwa kigezo cha kutaka watu wengi wafike darasa la 7 na form 4 eti kwa kuwa kukariri darasa kunakatisha vijana tamaa hivyo kuwafanya waache shule?!! Wote tu mashahidi wa matokeo yake!
 
kaka samahan ctaendelea kukujbu mana kwanza umejaza ma2c kchwan na hauna point zenye mashko na pil katka swala zma la vyuo vinavotoa degree za afya hapa nchin hauna ufaham wa kutosha mana kcmc hakuna pharmacy na pharmacy yenye cutoff ndogo zaid haipo st.john pia hako ka chuo cha saut songea hakana pharmacy huo n ushahd tosha kwamba wewe hujawai kusoma pcb ila umejaza kchwa chako majvuno yasio na msing ya kuropoka napenda kukutaharf kua kama kwel ndo uko hv ww c weakthinker na wache 2 wenzako wanao elewa kama hapo juu ndo 2badlshane mawazo na ufund. Hauna adh ya kuchangia hil jambo mkuu tafakar, kua na aibu, jfunze kutokurupukia mada, na jshangae pale unapo 2mia ma2c na majvuna af unayejbzana naye ana2mia hoja zenye hekima. Nanukuu "anaye jiona anajua kumbe hajui yeye n mpumbayu" wakuu hii n nukuu c kua nmem2kana mkuu hapa. Nawaslsha

Let me end this kijana...kcmc pharmacy ulimi umeteleza...nimeondoka bongo kabla ya hata st john bado ni mazengo sekondari...mimi mdau wa afya sijikwezi huo ukweli...ulipoleta madai ya 2.5 kwenda md ulipingwa sio tu na mimi angalia mtu wa kwanza kukujibu alivyoonyesha mshangao....ndugu yangu 2.5 nenda clinical officer pale îfakara kwa manufaa ya taifa,kama ww mzuri kichwani utapanda 2 mpaka udaktari bingwa ila hatukubali wenye low points waende md hata kama uliumwa kipindi cha mtihani kwani hatuna njia nyingine ya kukupima...kama ndio hivyo bac wenye div 4 wote waende mlimani waseme wanataka udahili kwani kichwani wako wazuri....kipimo cha mtihani sio perfect 100% ila angalau kwa asilimia zaidi ya 95 tunaweza kuchambua uwezo wa mtahiniwa...pole sana kama kigezo hicho kimekutuapa nje...jaribu tena! Good luck
 
enoc hapo umemaliza.kama aliyepata 1 olevel akapata 0 a level na aliyepata 3 o level ndiye aliye pata 1 alevel tuna shangaa nini sasa?

aliyepata 3 olevel akapata 1 a.level huyo kichwa na hajawahi kufeli...aliyepata 1 olevel na 0 a.level huyo kuna walakini aidha alibweteka au aliiba mtihani o.level.....sasa nikwambie kama wewe mkuu wa chuo utamchukua wa div 0 kisa anajiamiani kuwa ni mzuri na hakuwa na bahati au yule mwenye div 1...usinipe jibu kaa nalo 4 future use
 
mtihani sio kipimo cha kwamba hakuelewa miaka yote miwili shuleni.

unataka tukupime vipi kuwa umeelewa....basi tusiangalie matokeo,tuwe tunauliza "umeelewa" ukijibu ndio unadahiliwa au sio?
 
Duh..kama wapo tayari kuchukua hata wenye 2.5,watu si watachukulia course ya medicine kama mzaha??:wacko:

hizo points hata social sciences hawachukui ila mtu huyu anapewa mwili wa binadamu....mpaka tukome wenyewe wadanganyika
 
Ipo haja serikali iweke chombo cha kusimamia vigezo vya udahili katika vyuo mbalimbali, vinginevyo tutaona mengi!!

watoto wanamaliza sekondari hawajui kusoma ngoja na hawa wa 2.5 waende md baada ya miaka 10 tutatafutana wachawi
 
Jaman wadau mnajua coz ya bachelor of vetelan medicin(BVM) kua n ngum sana kulko md? Kwa tanzania hyo coz hpo SUA na cutoff yake n 3.5 ka csahau ambayo n nusu ya hle ya md ya MUHAS ambayo n 7.5 hyo coz tz ndo ya kwanza kwa kua na wa2 weng wanaodisco na sap za maana hyo inafahamka kwa wote je kwann hawachukui wa2 wenye cutoff kubwa na kuendelea kwa7bu n ngum? Jbu n kwamba cuttof sio tja ila uwezo wako 2 ilmrad uwe na uwezo wakufaulu coz na uwezo utapatkana ka utamalza coz na kama ukdisco bac utakua hauna uwezo hucka. Jaman 2futen mawazo ya ki tz kwamba coz zenye cutoff kubwa ndo ngum mfano kama sheria n coz ya kwanza kwa ugum na inafuatiwa na bvm(bachelor vetelan medicin) lakn kwa kua kuna vyuo vng bac sheria hapa tz ina cutoff ndogo, kwahyo wadau swala la cutoff kubwa n kwa7bu ya uhaba wa vyuo na c ugum wa coz. Nawaslsha
 
Mada isihame...suala sio ugumu...medicine ni noble profession...unashikilia uhai wa watu aisee...cut off points yake ni kubwa si tu tanzania bali duniani kote hata huko kwenye vyuo vingi mfano marekani hata hapa nilîpo mimi kwasababu tunataka kumpa chance mwanafunzi aliye serious na mara nyingi ni wale wenye maksi za kuridhisha...mtu mwenye div 4 umakini wake unatia shaka kuliko wa yule mwenye angalau 3...sio mara zote tutapatia ila mara nyingi ni hivyo...kuwa daktari ni rahisi kuliko wa2 wasio katika md school wanavyofikiri ila kila daktari atakiri kuwa daktari mzuri ni suala lingine
 
2.5 inastua hata wagonjwa mkuu,sio kwamba wanatia shaka uwezo wako wa kumudu masomo ila wanawasiwasi afya zao kuwa mikononi mwa makanjanja....iko hivyo duniani kote...aisee nimefunga huu mjadala kwa upande wangu...gud luck mdau hapo juu...
 
Jaman wadau mnajua coz ya bachelor of vetelan medicin(BVM) kua n ngum sana kulko md? Kwa tanzania hyo coz hpo SUA na cutoff yake n 3.5 ka csahau ambayo n nusu ya hle ya md ya MUHAS ambayo n 7.5 hyo coz tz ndo ya kwanza kwa kua na wa2 weng wanaodisco na sap za maana hyo inafahamka kwa wote, je kwann hawachukui wa2 wenye cutoff kubwa na kuendelea kwa7bu n ngum? Jbu n kwamba cuttof sio tja ila uwezo wako 2 ilmrad uwe na uwezo wakufaulu coz na uwezo utapatkana ka utamalza coz na kama ukdisco bac utakua hauna uwezo hucka. Jaman 2futen mawazo ya ki tz kwamba coz zenye cutoff kubwa ndo ngum mfano kama sheria n coz ya kwanza kwa ugum na inafuatiwa na bvm(bachelor vetelan medicin) lakn kwa kua kuna vyuo vng bac sheria hapa tz ina cutoff ndogo, kwahyo wadau swala la cutoff kubwa n kwa7bu ya uhaba wa vyuo na c ugum wa coz. Nawaslsha

Hapo kwenye ubluu mkuu,neno sahihi ni veterinary!

Hapo pekundu mkuu, hivi unatumia vigezo gani kuaminisha watu kuwa eti kozi moja ni ngumu zaidi kuliko nyingine?!
Kwa hiyo kwa uelewa wako watu wengi wakisap kozi flani ndo inaonesha ugumu wa kozi au?!

Naomba nikuulize, Kwa kuwa huna utafiti wowote kuthibitisha uliyosema, unaweza kubisha nikisema kuwa kusap kwao kwa wingi, inatokana na cut-off point ndogo walizochukuliwa nazo, ambazo kwa ujumla wake zinaonesha uwezo wao kimasomo kwa haraka haraka?!
 
Mkuu nashukuru kwa malekebsho yako na swala c kwamba kwa7bu ya kusap kwan sheria idad ya wa2 kusap inazd coz zote kwa7bu nmesema yenyewe n ya kwanza? Jbu n hapana mkuu ila hvo vgezo haviangaliwa kwa sap o disco bal kwa quality na cotent kaka na swala la cutoff tena naona bora ungesemea kua n sua ndo mana wanadsco kwa sana lakn ilo cutoff na elm ya tanzania yan advanc haisian na chuo mkuu nawaklsha
 
Back
Top Bottom